"DUNIA SIO TUFE KAMA MPIRA" JE UMBO LA DUNIA BI LIPI?
نشر بتاريخ 2022-07-19 00:55:51
1
10كيلو بايت
Usibitisho wa kibiblia kuhusu umbo la dunia
Watu wengi wakizaliwa ukimuuliza kabla hajapata elimu ya kijografia, atasema dunia ni tambalale na sio tufe kama mpira, lakini elimu ya kisayansi ya jografi ndio inatudanganya wengi wetu!
Leo ni usibitisho wa kibiblia kuwa dunia sio tufe bali ni tambarale na duara kama chapati tu!
*Kwanza tuangalie sifa za dunia yetu
- Dunia ni duara(Isaya 40:22)
- Dunia ina misingi yake(Isaya 40:21)
- Anga la dunia lina nyota zake nyingi(Mwanzo 15:3-5,Ayubu 26:7-10)
- Dunia ina mipaka yake ya duara au ina miisho yake ambayo imezungukwa na maji(Ayubu 26:10)
- Dunia ina mwanga mkubwa(jua) na mwanga mdogo(mwenzi) vilivyowekwa katikati ya anga ya Dunia (Mwanzo 1:14-15)
- Jua na Mwenzi ndio vinazunguka Dunia(Yoshua 10:12-...)
7. Dunia ni Tambarale/flat(Ufunuo 1:8)
Kwaiyo umbo la dunia kibiblia ukisoma vizuri hiyo mistari hapo juu kwenye biblia, umbo la dunia linafanania hivi. 👇
Hivyo Dunia ni tambarale na duara kama chapati, sio tufe kama mpira, huo ni usibitisho wa kibiblia, pia wa kisayansi usibitisho upo, kuwa dunia sio tufe kama wanasayansi wanavyodai, bali ni tambarale.
البحث
الأقسام
- BIBLICAL FINANCIAL EDUCATION
- SPIRITUAL EDUCATION
- MASWALI & MAJIBU
- WORLD'S EDUCATION
- MAHUSIANO KIBIBLIA
- Injili Ya Yesu Kristo
- OTHERS
إقرأ المزيد
Verse by verse explanation of 2 Samuel 14
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 27 questions at the...
UKWELI KUHUSU HAKI IPATIKANAYO KWA IMANI
BWANA YESU ASIFIWE!! Mpendwa Roho Mtakatifu ameweka
Nyakati hizi tunazoishi ni nyakati/siku za...
BACHELOR
List of all subjects for the students who are taking bachelor courses.
HISTORY : FORM 1
List of all topics in History for the form 1 class: CLICK HERE TO DOWNLOAD.
SOURCES AND IMPORTANT...
How to turn your marketplace into a community
As we have learned in the earlier chapters of the Practical guide for building a...

