SABABU 10 KWANINI USIZINI.
1. Uzinzi ni dhambi pekee inayotajwa kama "UBAYA MKUBWA".
Haimaanishi kwamba dhambi nyingine zote ni nzuri. Zote ni dhambi na hazina mbingu. Lakini madhara ya dhambi ya uzinzi huwezi kuyafananisha na madhara ya dhambi nyingine. Madhara ya uzinzi ni zaidi ya madhara ya dhambi nyingine. Katika Biblia nzima kuna dhambi moja inayotajwa kama "Ubaya mkubwa" nayo ni dhambi ya uzinzi. Kuzini ni...