WASABATO MTAACHA LINI KUPOTOSHA ULIMWENGU
Shalom wapendwa: Nashukuru kwa WAKRISTO wote wanaoendelea kushirikiana na mimi kutoa elimu SAHIHI ya KIMUNGU na pia niwashukuru WASABATO wastarabu ambao wamekuwa WAKIJIBU kwa hoja za MAANDIKO SI kwa matusi.
Hata hivo katika kuendeleea kuhojiana na WASABATO nimegundua mambo mengi sana ikiwemo:
Wasabato wanalazimisha Biblia au Mungu aseme wanavotaka wao , yaani...