"DUNIA SIO TUFE KAMA MPIRA" JE UMBO LA DUNIA BI LIPI?

1
10Кб

Usibitisho wa kibiblia kuhusu umbo la dunia

Watu wengi wakizaliwa ukimuuliza kabla hajapata elimu ya kijografia, atasema dunia ni tambalale na sio tufe kama mpira, lakini elimu ya kisayansi ya jografi ndio inatudanganya wengi wetu!

Leo ni usibitisho wa kibiblia kuwa dunia sio tufe bali ni tambarale na duara kama chapati tu!

*Kwanza tuangalie sifa za dunia yetu

  1. Dunia ni duara(Isaya 40:22)
  2. Dunia ina misingi yake(Isaya 40:21)
  3. Anga la dunia lina nyota zake nyingi(Mwanzo 15:3-5,Ayubu 26:7-10)
  4. Dunia ina mipaka yake ya duara au ina miisho yake ambayo imezungukwa na maji(Ayubu 26:10)
  5. Dunia ina mwanga mkubwa(jua) na mwanga mdogo(mwenzi) vilivyowekwa katikati ya anga ya Dunia (Mwanzo 1:14-15)
  6. Jua na Mwenzi ndio vinazunguka Dunia(Yoshua 10:12-...)
tenor.gif


7. Dunia ni Tambarale/flat(Ufunuo 1:8)

Kwaiyo umbo la dunia kibiblia ukisoma vizuri hiyo mistari hapo juu kwenye biblia, umbo la dunia linafanania hivi.                                    👇

IMG_20190613_120528_393.jpg


Hivyo Dunia ni tambarale  na duara kama chapati, sio tufe kama mpira, huo ni usibitisho wa kibiblia, pia wa kisayansi usibitisho upo, kuwa dunia sio tufe kama wanasayansi wanavyodai, bali ni tambarale.

Поиск
Категории
Больше
DANIEL
DANELI 8
Jina la YESU KRISTO, BWANA wetu libarikiwe. Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Danieli,...
От GOSPEL PREACHER 2021-11-05 23:59:52 0 8Кб
SPIRITUAL EDUCATION
MIKATABA INAYOTOKANA NA KAFARA
Na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima    Utangulizi: Wakristo wengi huwa hawazungumzii...
От MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-22 02:28:30 0 6Кб
2 KINGS
Verse by verse explanation of 2 Kings 3
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 33 questions at the...
От THE HOLY BIBLE 2022-03-19 19:18:19 0 6Кб
HOLY BIBLE
Is Heaven real?
Heaven is indeed a real place. The Bible tells us that heaven is God’s throne (Isaiah...
От MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-24 04:20:37 0 6Кб
Injili Ya Yesu Kristo
NJIA YA WOKOVU NDANI YA KITABU CHA WARUMI.*
NJIA YA WOKOVU NDANI YA KITABU CHA WARUMI.*  
От Martin Laizer 2023-10-18 04:00:33 0 8Кб