Religion
    Jinsi Shetani Anavyopofusha Fikra za Watu: Maandiko ya Biblia Yanayofafanua
    Katika Biblia, Shetani anaelezewa kama roho mbaya ambaye anaweza kushawishi, kudanganya, na kupofusha fikra za watu ili kuwapotosha mbali na ukweli wa Mungu. Hii inafanyika kwa njia mbalimbali, kama ilivyoelezwa katika maandiko. Hapa kuna mifano ya maandiko yanayofafanua jinsi Shetani anavyoweza kupofusha fikra za watu: Kudanganya na Kupotosha Ukweli Shetani anaitwa "baba wa uongo" katika Yohana 8:44, ambapo Yesu anasema: "Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo, wala hakusimama katika kweli, kwa...
    By GOSPEL PREACHER 2025-09-28 05:02:20 0 129
    Religion
    UKWELI KUHUSU DUNIA YETU.
    Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia na kusema ya kuwa dunia ipo bapa yaani flat na sio sphere au duara kama tulivyozoea.Kama dunia ingekuwa inazunguka eastwards at 1000miles/hour basi;> Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie.> Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.> Dunia inazunguka...
    By UUMBAJI CREATION 2022-07-19 03:21:34 0 7K
    Religion
    "DUNIA SIO TUFE KAMA MPIRA" JE UMBO LA DUNIA BI LIPI?
    Usibitisho wa kibiblia kuhusu umbo la duniaWatu wengi wakizaliwa ukimuuliza kabla hajapata elimu ya kijografia, atasema dunia ni tambalale na sio tufe kama mpira, lakini elimu ya kisayansi ya jografi ndio inatudanganya wengi wetu!Leo ni usibitisho wa kibiblia kuwa dunia sio tufe bali ni tambarale na duara kama chapati tu!*Kwanza tuangalie sifa za dunia yetu Dunia ni duara(Isaya 40:22) Dunia ina misingi yake(Isaya 40:21) Anga la dunia lina nyota zake nyingi(Mwanzo 15:3-5,Ayubu 26:7-10) Dunia...
    By UUMBAJI CREATION 2022-07-19 00:55:51 1 8K
    Religion
    USHUHUDA WA MAONO YA JEHANAMU NA YERUSALEMU MPYA WA NYISAKI CHAULA
      UTANGULIZI: Sura ya 1: Kuitwa Sura ya 2: Jehanamu sehemu ya kwanza na Mangojeo ya Wafu. Sura ya 3: Jerusalem Mpya. Sura ya 4: Mangojeo ya Jehanamu sehemu ya PiliUnachotakiwa kufanya. UTANGULIZI: Ndugu yangu kuna shuhuda nyingi sana zinazoanguka duniani, lakini wachache wanaozingatia kwa vile watoaji si wa dini zao au si wa madhehebu yao wala hawajulikani makanisani. Sasa ninakuomba ewe msomaji, tafuta mahali pa utulivu, mwombe Mungu na kusoma ushuhuda huu ili upokee kile ambacho Bwana...
    By GOSPEL PREACHER 2022-01-12 00:21:26 0 6K
    Religion
    EPUKA MAVAZI YA KIKAHABA
    Neno la Uzima kutoka kwa  Askofu Zachary Kakobe         Tovuti       : www.bishopzacharykakobe.org Facebook : www.facebook.com/bishopkakobeministries Youtube   : www.youtube.com/user/bishopkakobe S0MO:  MAVAZI YA KIKAHABA                                            ...
    By GOSPEL PREACHER 2022-01-08 10:23:04 0 15K
    Religion
    FUND FUND
    Jeremiah Chapter 48 Verses 1-47: The Moabites were descendants of Lot who lived east of the Jordan River, and they had opposed Israel’s efforts to enter the Promised Land in the days of Moses (Gen. 19:37; Num. chapters 22-25). The recurring theme in this message is that the Lord would Judge Moab’s excessive pride (48:7, 26, 29-30, 42). Jeremiah 48:1 “Against Moab thus saith the LORD of hosts, the God of Israel; Woe unto Nebo! for it is spoiled: Kiriathaim is confounded [and]...
    By GOSPEL PREACHER 2021-12-31 20:47:38 0 6K
    Religion
    USIFUATE MAMBO YAKO TU!!
    Ipo faida  ya kufuata mambo yako na kutojishughulisha na mambo ya wengine!.. Lakini pia ipo hasara kubwa ya kutojishughulisha na mambo ya wengine na kufuata mambo yako tu!. Faida ya kufuata mambo yako ni kwamba utakuwa huru katika mambo yako, na hautaishi kwa wasiwasi wala hofu!…kwasababu utakuwa hufuatilii mambo ya wengine, na wala hushirikiani nao, hivyo hutakuwa na mtu wa kushindana naye wala kujilinganisha naye..Kwahiyo utaishi maisha ya uhuru sana.. Lakini pamoja na hayo kuna...
    By GOSPEL PREACHER 2021-10-09 23:17:01 2 5K
    Religion
    KUPENDANA HUSITIRI DHAMBI
    Ndugu zangu, Nawasalimu katika jina la Yesu. Mungu mwema kwa neema zake leo tena tumepata neema ya kumtumikia. Napenda tumtafakari Mungu kwa maneno haya machache. Mtume Petro anasema "Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi" - 1 Petro 4:8   Kuna msemo wa kiswahili wanasema 'kupenda ni upofu'! Wanasema unapompenda mtu hata zile kasoro ambazo wengine wanaziona kwa huyo umpendae basi wewe huzioni. Sababu ni moja tu, Upendo...
    By GOSPEL PREACHER 2021-09-24 08:13:26 0 6K
    Religion
    EPUKA KUPELELEZA KILA KITU MUNGU ANACHOKUAHIDIA.
    EPUKA KUPELELEZA KILA KITU MUNGU ANACHOKUAHIDIA. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima ya Mungu wetu, Karibu sana. Jambo ambalo tunapaswa tuwe makini nalo, ni kuchunguza chunguza au kupeleleza peleleza ahadi ambazo Mungu anatuahidia katika maisha yetu. Sio kwamba kupeleleza ni kubaya, hapana, lakini matokeo ya kufanya hivyo ni kuwa tutakayokutana nayo  yatakuja kinyume na matazamio yetu, na mwisho wa siku tukavunjika mioyo, na...
    By WINGU LA MASHAHIDI 2021-09-18 21:46:03 0 7K
    Religion
    JE UNA MATUMAINI YA KUPATA TENA KILE ULICHOPOTEZA?
    JE UNA MATUMAINI YA KUPATA TENA KILE ULICHOPOTEZA? Jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu na wa ulimwengu, Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu na mwanga wa njia yetu. (Zab 119:105). Je unafanya kazi yoyote ya mikono?, ya kujiajiri au kuajiriwa?.. labda una shamba, au mifugo, au biashara, ambayo katika hiyo unategemea kukuingizia kipato?… Je unayo shughuli ambayo ghafla umeshangaa mambo yameharibika!, yameenda kombo!..wakati...
    By WINGU LA MASHAHIDI 2021-09-18 21:20:12 0 6K
    Religion
    SEMINA YA NENO LA MUNGU VITU VITAKAVYOKUWEZESHA UITUMIE IPASAVYO MAMLAKA ULIYOPEWA NA MUNGU.
    Location:Arusha.Date: 25th Jan 2016 Mwalimu:MWL MWAKASEGELocation:ARUSHA MJINI UWANJA WA RELIDate:TAR 24-JANUARY-2016​ Marko 11: 27-28 ‘’ 27 Wakafika tena Yerusalemu, wakati Yesu akitembea hekaluni, viongozi wa makuhani, walimu wa sheria pamoja na wazee wakamjia.Wakamwuliza, “UNAFANYA MAMBO HAYA KWA MAMLAKA GANI? Naye ni nani aliyekupa MAMLAKA YA KUFANYA HAYO?​ Matendo ya Mitume 4:5-7 ‘’ 5 Siku ya pili yake viongozi wa Kiyahudi, wazee na waandishi wa sheria...
    By GOSPEL PREACHER 2021-09-04 07:54:05 0 6K
    Religion
    HATUA ZA KUINUKA BAADA YA KUANGUKA
    Bwana Yesu asifiwe! Huna sababu ya kubakia hapo chini baada ya kuanguka majaribuni. Kwa hiari yako na uweza wa Bwana unaweza kugeuza kisiki kilichokuangusha kuwa kigogo cha kuvushia kwenye ushindi. Kwa kuzingatia hatua zilizoainishwa kwenye Biblia, mdhambi yeyote anaweza kuinuka kutoka sakafuni mpaka vileleni. Muhimu kati ya zote ninazozifahamu kutoka katika Maandiko, ni hizi hapa: Kumbuka ulivyoanguka majaribuni. kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza (Ufu....
    By GOSPEL PREACHER 2021-09-04 07:33:04 1 6K
More Blogs
Read More
2 KINGS
Verse by verse explanation of 2 Kings 18
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 32 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-03-19 20:40:33 0 5K
DEUTERONOMY
Verse by verse explanation of Deuteronomy 3
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 33 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-24 19:18:47 0 5K
OTHERS
God of the Bible is "FATHER", In Contrast, Allah of Koran is Not "FATHER"
SCRIPTURES THAT SHOW THAT GOD IS A FATHER Let’s take a look at the groundwork that Judaism...
By MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-23 08:34:59 0 5K
EXODUS
Verse by verse explanation of Exodus 33
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 33 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-23 05:34:22 0 6K
NDOA KIBIBLIA
MWANAUME: KAA NA MKE WAKO KWA AKILI
KWELI KUU: Mwanaume mwenye akili akishindwa kukaa na mke wake ni kwa sababu amekosa akili.1Petro...
By GOSPEL PREACHER 2021-11-07 22:20:56 0 6K