MUHAMMAD NI MTUME BANDIA

0
5K
1. Hakutumwa na Mungu
2. Alipewa Utume na Mkewe
3. Alichezewa na Mashetani tokea utoto wake
Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA. Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?
Ndugu zanguni, huu ni msiba mwingine kwa Waislam. Hebu tuanze moja kwa moja kwa ushahidi kuhusu huyu Mtume wa Allah aliyeitwa Muhammad.
 
MAANA YA NENO/JINA "MTUME"Neno “mtume” lamaanisha mwanafunzi au mfuasi. Neno “mtume” la maanisha “mtu aliyetumwa”
SASA BASI, hakuna aya hata Moja katika Quran inayosema kuwa Muhammad aliwai ongea na Allah aliye mmpa Utume. Sasa basi, huu utume wa Muhammad alipewa na nani? Maana Allah hakuwai mpa utume .
 
MUHAMMAD APEWA UTUME NA MKEWE ILI KUMFARIJI!Pale pale bibi Khadija akamdakiza, akamwambia, "Wacha hayo siyo yatakayokuwa hayo, wewe huwezi kuchezewa na mashetani, shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako, wewe unatazama vema Jamaa zako, unawadhihirisha watu sifa nzuri, ambazo hukuwa mwenye nazo, unachukua mizigo ya watu wasiokuwa wako, unafanya hivi, unafanyi hivi, furahi ndugu yangu, pumua moyo wako, Wallahi mimi mkeo naona umekwisha kuwa mtume."
Endelea kusoma,
Je, Mungu alisha wai mmpa mtu Utume ambaye alipagawa na Mashetani?
 
MUHAMMAD ALIZALIWA NA KUCHEZEWA NA MASHETANI TOKEA UTOTO WAKEI!1.ALIZALIWA NA SHETANI,
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389)
2.ALICHEZEWA NA MASHETANI,
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga" (Kitabu cha wakeze Mtume wakubwa na wanawe, uk. 12).
 
HAKUTUMWA NA MUNGU ILA ALITUMWA NA MASHETANI KUJA KUWAPOTEZA WAISLAMU !
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini hakuongea na Mungu?
Karibu kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu,
Mungu awabariki sana,
Search
Categories
Read More
Injili Ya Yesu Kristo
IPONYE NAFSI YAKO, EPUKA MANABII WA UONGO
Muhubiri/ Mtumishi yeyote aliyerudi nyuma na kusahau kusudi lake tayari anageuka kuwa nabii wa...
By GOSPEL PREACHER 2023-06-17 23:43:15 0 8K
1 CHRONICLES
Verse by verse explanation of 1 Chronicles 24
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 23 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-03-20 05:16:40 0 6K
Injili Ya Yesu Kristo
Biblia inasema je ju ya chale/ kujitoboa mwili?
Agano la kale liliwaamuru waIsraeli, “Msiikate miili yenu kwa ajili ya wafu wala kuchanja...
By MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-24 04:11:41 0 5K
MAHUSIANO KIBIBLIA
BIBLIA NA URAFIKI, UCHUMBA HADI NDOA
Bila shaka utaungana nami kuwa hakuna kipindi kinachosumbua katika maisha kama kipindi cha ujana,...
By GOSPEL PREACHER 2021-11-06 11:31:28 0 6K
JUDGES
Book of Judges Explained
Title: The book bears the fitting name “Judges,” which refers to unique leaders...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-25 08:58:35 0 5K