MASWALI & MAJIBU
    Je! Mtu Anapofunga Kwa Muda Wa SAA 24,Anapaswa Kunywa Maji Au Kitu Chochote?
    JIBU: Biblia haijatoa masharti yoyote ya kufuata katika kufunga kwamba ufunge masaa 12 au 26 au 36 au mwezi,nk.. hapana. Kwasababu kitendo chenyewe cha kufunga ni kitendo kinachotoka rohoni na sio mwilini. Hivyo kwa jinsi mtu atakavyoguswa moyoni au atakapoona yeye mwenyewe umuhimu wa kufunga kwa muda fulani, pengine kutokana na ugumu wa hali fulani anayopitia kiroho ama haja fulani anataka kupeleka kwa Mungu, ndipo anapolazimika kujichagulia mwenyewe aina ya ufungaji wake utakaoendana...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-14 13:38:28 0 7K
    MASWALI & MAJIBU
    Ni Sahihi Kumuita Mariamu Mama Wa Mungu?
    Kwa kuwa Bwana Yesu alipitia katika tumbo la Mariamu je! Ni sahihi kumuita Mariamu mama wa Mungu? JIBU: Mariamu alimzaa BWANA kwa namna ya mwili, hivyo wakati Bwana alipokuwa duniani ndio Mariamu alijulikana kama mama wa Yesu, na sio mama wa Mungu. Bwana Yesu alipokuja hapa duniani alikuwa ni Mungu katika mwili lakini hakuja kutafuta kuabudiwa na ndio maana hakuna sehemu yoyote alijiita yeye ni Mungu, zaidi sana alikuwa anawarudisha watu wamuabudu Baba.   Kumbuka Mungu alipouvaa...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 09:46:06 0 6K
    MASWALI & MAJIBU
    Ubatizo Wa Moto Ni Upi?
    JIBU: Ni kweli Yohana alibatiza kwa maji na alisema Bwana YESU atakapokuja atatubatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto..Sasa huu ubatizo wa moto ni upi?, kama tunavyofahamu moto hufanya kazi kuu tatu: Ya kwanza: ni kuteketeza vitu dhaifu vyote visivyostahili. Kwamfano takataka..Vivyo hivyo Hatua hii ni ile Mungu anaichoma dhambi yote ndani ya mtu, hapo ndipo utakuta mtu tamaa ile ya kutenda dhambi aliyokuwa nayo kipindi cha nyuma inakufa yote, alikuwa anavuta sigara ghafla kiu ya...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 09:44:22 0 6K
    MASWALI & MAJIBU
    Je! Bikira Maria Ni MALKIA WA MBINGUNI?
    JIBU: Neno Malkia wa mbinguni limeonekana mara mbili katika biblia Sehemu ya kwanza ni katika Yeremia 7:18-20 18 Watoto huokota kuni, na baba zao huwasha moto, na wanawake hukanda unga, ili kumfanyizia mikate malkia wa mbinguni, na kuwamiminia miungu mingine sadaka za kinywaji, wapate kunikasirisha mimi. 19 Je! Watu hawa wanikasirisha mimi? Asema Bwana; hawajikasirishi nafsi zao, na kuzitia haya nyuso zao wenyewe? 20 Kwa hiyo, Bwana MUNGU asema hivi, Tazama, hasira yangu na ghadhabu...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 09:42:45 0 6K
    MASWALI & MAJIBU
    Watakaodanganywa Baada Ya Miaka 1000,Watatoka Wapi?
    Swali linaendelea….Angali tunajua ndani ya ule utawala kutajawa na watakatifu tu? sasa hawa watu ambao shetani atawadanganya watatokea wapi kama tunavyosoma katika Ufunuo 20:7 “Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, Shetani atafunguliwa, atoke kifungoni mwake; 8 naye atatoka kuwadanganya mataifa walio katika pembe nne za nchi, Gogu na Magogu, kuwakusanya kwa vita, ambao hesabu yao ni kama mchanga wa bahari. 9 Wakapanda juu ya upana wa nchi, wakaizingira kambi ya watakatifu, na mji huo...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 09:25:59 0 6K
    MASWALI & MAJIBU
    Kwanini Mungu Hakumuua Nyoka, Akamwacha Hawa Ajaribiwe Katika Bustani Ya Edeni?
    JIBU: Hili ni swali watu wengi wanajiuliza ni Kwanini Mungu hakumuua Nyoka, badala yake akamwacha Hawa ajaribiwe na yeye?. Tunapaswa tufahamu wakati mwingine Mungu anaruhusu sisi wanadamu tujaribiwe kwa makusudi maalumu ili tuujue uweza wake na asili yake kwetu sisi na pia tumjue yeye zaidi, kwamfano jaribu kufikiria tungemjuaje kama yeye ni mwokozi kama tusingepotea katika dhambi?, tungejuaje yeye ni mponyaji kama tusingeumwa, tungejuaje yeye ni wa rehema kama tusingeanguka, tungejuaje yeye...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 09:19:01 0 6K
    MASWALI & MAJIBU
    Je! Mtu Aliyeokoka Anaruhusiwa Kumiliki Lodge Ambayo Ina Bar Ndani Yake?
    Swali linaendelea….na kutoa fungu la kumi kwa kupitia hiyo?,kwa mfano mimi nina rafiki yangu anafanya kazi kampuni ya TBL kazi ya kampuni hii ni kutengeneza na kuuza bia kama yalivyo makampuni mengine kama Serengeti nk. Huyu ndugu ni mkristo aliyeokoka na jumapili bila shaka hutoa fungu la kumi na sadaka zingine pia ana cheo kanisani ..je! ni kuna makosa yoyote kufanya hivyo? JIBU: Kumiliki bar ni dhambi, vilevile kumiliki lodge lenye bar ni dhambi..biblia inasema wazi katika...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 09:17:15 0 6K
    MASWALI & MAJIBU
    KUZIMU Ni Mahali Pa Namna Gani, Je! Huko Wanaishi Watu Wakifa Na Kwenda Kupata Mateso Au Ni Vinginevyo?
    JIBU: Kuzimu ipo, na ni sehemu iliyo halisi kabisa biblia inaelezea katika (Luka 16:19-31)… Mtu anapokufa katika dhambi (yaani haujaoshwa dhambi zake kwa damu ya YESU KRISTO)..mtu anaenda moja kwa moja kuzimu/jehanum, huko kuna mateso mengi sana, mtu huyo atakaa huko akingojea ufufuo wa wafu, ambao utakuja baada ya ule utawala wa YESU KRISTO wa miaka 1000 kuisha ambapo wafu wote watafufuliwa na kuhukumiwa mbele ya kile kiti cheupe cha Hukumu..   Ufunuo 20:12...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 09:15:09 0 6K
    MASWALI & MAJIBU
    Kati Ya Unyakuo, Dhiki Kuu, Utawala Wa Miaka 1000 Kipi Kinaanza?
    SWALI:Naomba kuuliza kati ya Unyakuo wa watakatifu, Dhiki kuu, Vita vya har-magedoni, Utawala wa miaka 1000, Vita ya gogu na magogu, hukumu ya kiti cha enzi cheupe. Je, ni nini kinaanza na kingine kufuata kwa mpangilio wa matukio hayo? JIBU HATUA YA UNYAKUO. Kwa ufupi kulingana na kalenda ya Ki-Mungu, kwasasa tunasubiria unyakuo wa watakatifu ambao huo upo karibuni sana kutokea. Wakati wowote katika kizazi chetu hichi tunachoishi jambo hilo tunaweza tukalishuhudia kwa macho yetu, Hivyo huo...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 09:09:30 0 6K
    MASWALI & MAJIBU
    Naomba Kujua Watakaoenda Mbinguni Je! Ni Wengi Au Wachache?
    JIBU: watakaoenda mbinguni je! ni wengi au wachache?..Ni swali ambalo halikuulizwa tu na watu wa kipindi cha Bwana Yesu pekee lakini hadi sasa swali hilo linaulizwa na wengi.. Tukisoma Luka 13:23 ″Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache?   Akawaambia, 24 Jitahidini kuingia katika MLANGO ULIO MWEMBAMBA, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia, wasiweze. 25 Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 09:01:02 0 7K
    MASWALI & MAJIBU
    Inaruhusiwa Kula Nyama Ya Nguruwe Kwa Mkristo Wa Kweli? Pia Je, Mkristo wa Kweli Anaruhusiwa Kunywa Pombe/kuvuta sigara?
    JIBU LA 1: Kwa ufahamu hakuna tatizo lolote kula nyama ya nguruwe au chakula chochote ambacho mtu anaweza kukipokea kwa shukrani mbele za Mungu…biblia inasema viumbe vyote vimetakaswa na Mungu, Tukisoma 1Timotheo 4:1-5 inasema.. “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; 3 wakiwazuia watu wasioe, na...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 08:59:21 0 6K
    MASWALI & MAJIBU
    Je! Kiongozi Wa Dini Anao uwezo Wa Kusamehe Dhambi?
    SWALI: Je! Ni sahihi kwenda kumfuata kiongozi wa dini kwa mfano Padre na kumpigia magoti kumweleza dhambi zako?.kwasababu imeandikwa “Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; (Yohana 20:23)” JIBU: Kwa kuongezea hapo Bwana Yesu pia alisema.. Mathayo 16:15 “Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. 17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu...
    By GOSPEL PREACHER 2022-06-13 08:52:55 0 6K
More Blogs
Description
Jifunze zaidi kuhusu Biblia, Yesu Kristo na Ukristo kwa ujumla, kupitia maswali mbalimbali yanayoulizwa na wengi ulimwenguni. Roho Mtakatifu na akufunulie zaidi ili uelewe zaidi. Ubarikiwe.
Read More
JOB
Verse by verse explanation of Job 24
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 25 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-04-03 03:55:26 0 5K
GENESIS
Verse by verse explanation of Genesis 39
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 25 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-21 09:18:23 0 6K
Injili Ya Yesu Kristo
HABARI ZA MWANA MPOTEVU
(A) MWANA MPOTEVU (MTOTO MDOGO)  LUKA 15;11-24 "Kulikuwa na mtu mmoja mwenye wana...
By GOSPEL PREACHER 2022-01-15 22:14:25 0 6K
EXODUS
Verse by verse explanation of Exodus 2
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 70 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-21 12:42:02 0 5K
1 CHRONICLES
Verse by verse explanation of 1 Chronicles 22
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 28 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-03-20 05:10:41 0 5K