KUMTUMAINI MUNGU
Posted 2021-08-31 06:48:51
0
6K

HEKIMA NI KUMTUMAINI MUNGU TU:
Huu ndio ukweli hata Kama wapo watakaopinga, lakini ukweli utasisima daima, na ukweli huu ni kwamba: tunapaswa kumtumaini Mungu tu, na kamwe tusizitegemee akili zetu wenyewe. Na katika njia zetu zote tumtegemee yeye tu, naye atatufanikisha katika kila Jambo jema tunalolifanya.
Mithali 3:5-6


Zoeken
Categorieën
- BIBLICAL FINANCIAL EDUCATION
- SPIRITUAL EDUCATION
- MASWALI & MAJIBU
- WORLD'S EDUCATION
- MAHUSIANO KIBIBLIA
- Injili Ya Yesu Kristo
- OTHERS
Read More
STANDARD 4
List of all subjects for the standard 4 class
Verse by verse explanation of 2 Samuel 2
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 33 questions at the...
UFALME WA MUNGU
BWANA ASIFIWE, unaweza kupakua (download) somo hili kwa kubonyeza hapa. Au unaweza...
SHETANI NA MAJINI MACHAFU YASILIMU NA KUWA WAISLAM
1. Mtume Muhammad akutana na Majini usiku na kuyafundisha Quran.2. Shetani na yeye aingia...
Your marketplace MVP – How to build a Minimum Viable Platform
Once you have gone through the initial process of customer discovery, you should have a...