Binadamu aliumbwa kutoka nini? Tone la Damu? Maji? Udongo? Vumbi?
Jamani huu nao ni Msiba Mkubwa katika taifa la Allah. Hivi, Allah alikuwa msanii au alikuwa nani/ Maana anapenda sana kuchanganya madawa. Leo ALLAH AMELETA UTATA Katika uumbaji wa Binadamu. Sasa tuanze kwa kusoma kitabu chake kilicho shushwa na Jibril msaidi wake.
Je, Adam aliumbwa kwa tone la Damu?
Quran 96 1-2
1. Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba, ***2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, ***
Allah anasema kuwa, Binadamu aliumbwa kwa tone la damu. Endela kupa ilmu ya Koran.
Je, Adam aliumbwa kutokana na Maji?
Quran 25:54. Naye ndiye aliye muumba mwanaadamu kutokana na maji, akamjaalia kuwa na nasaba na ushemeji. Na Mola wako Mlezi ni Muweza. ***
Allah anachanganya madawa. Sasa anaumba Mwanadamu kupitia MAJI. Tuendelee kusoma usanii wa Allah.
Je, Binadamu aliumbwa kutoka kwa Udongo?
Quran 15:26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. ***
Allah amebadilika tena, sasa anaumba Mwanadamu kupitia Udongo. Jamani huu si Msiba?
Endelea kupata Elimu.
Je, Binadamu aliumbwa kutoka VUMBI?
Quran 30:20. Na katika Ishara zake ni kuwa kakuumbeni kutoka Vumbi. Kisha mmekuwa watu mlio tawanyika kote kote. ***
Ndugu zanguni, hivi kweli Koran ilishushwa kutoka kwa Mungu? Mbona kuna UATAT kila sehemu?
Binadamu aliumbwa kutoka nini? Tone la Damu? Maji? Udongo? Vumbi?
Kweli Allah anafahamu yote, ingawa hajui alimuumbaje Adam.
Zoeken
Categorieën
- BIBLICAL FINANCIAL EDUCATION
- SPIRITUAL EDUCATION
- MASWALI & MAJIBU
- WORLD'S EDUCATION
- MAHUSIANO KIBIBLIA
- Injili Ya Yesu Kristo
- OTHERS
Read More
Verse by verse explanation of Genesis 27
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 56 questions at the...
Jinsi Ya Kumpokea Roho Mtakatifu
“Je Unajua kuwa watumishi wengi sasa wanaogopa kufanya maombezi ya kuombea watu ujazo wa...
DANIELI 12
Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO lihimidiwe milele na milele.
Huu ni mwendelezo wa kitabu...
AGIZO LA KUTAWADHANA
Neno la Uzima kutoka kwa Askofu Zachary Kakobe ...
Je! kuna dhambi kubwa na ndogo?
SWALI: Naomba kufahamu Je! Kuna dhambi kubwa na ndogo, na kama hakuna je! Mtu aliyeua na...