Binadamu aliumbwa kutoka nini? Tone la Damu? Maji? Udongo? Vumbi?
Jamani huu nao ni Msiba Mkubwa katika taifa la Allah. Hivi, Allah alikuwa msanii au alikuwa nani/ Maana anapenda sana kuchanganya madawa. Leo ALLAH AMELETA UTATA Katika uumbaji wa Binadamu. Sasa tuanze kwa kusoma kitabu chake kilicho shushwa na Jibril msaidi wake.
Je, Adam aliumbwa kwa tone la Damu?
Quran 96 1-2
1. Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba, ***2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, ***
Allah anasema kuwa, Binadamu aliumbwa kwa tone la damu. Endela kupa ilmu ya Koran.
Je, Adam aliumbwa kutokana na Maji?
Quran 25:54. Naye ndiye aliye muumba mwanaadamu kutokana na maji, akamjaalia kuwa na nasaba na ushemeji. Na Mola wako Mlezi ni Muweza. ***
Allah anachanganya madawa. Sasa anaumba Mwanadamu kupitia MAJI. Tuendelee kusoma usanii wa Allah.
Je, Binadamu aliumbwa kutoka kwa Udongo?
Quran 15:26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. ***
Allah amebadilika tena, sasa anaumba Mwanadamu kupitia Udongo. Jamani huu si Msiba?
Endelea kupata Elimu.
Je, Binadamu aliumbwa kutoka VUMBI?
Quran 30:20. Na katika Ishara zake ni kuwa kakuumbeni kutoka Vumbi. Kisha mmekuwa watu mlio tawanyika kote kote. ***
Ndugu zanguni, hivi kweli Koran ilishushwa kutoka kwa Mungu? Mbona kuna UATAT kila sehemu?
Binadamu aliumbwa kutoka nini? Tone la Damu? Maji? Udongo? Vumbi?
Kweli Allah anafahamu yote, ingawa hajui alimuumbaje Adam.
Поиск
Категории
- BIBLICAL FINANCIAL EDUCATION
- SPIRITUAL EDUCATION
- MASWALI & MAJIBU
- WORLD'S EDUCATION
- MAHUSIANO KIBIBLIA
- Injili Ya Yesu Kristo
- OTHERS
Больше
Prayer for Peace and Justice in Tanzania
Our Omnipotent God, in whom the whole Adamic family of earth is one, breathe your Spirit of...
KARIBU PROSHABO.COM TUHUBIRI INJILI PAMOJA
KWA MASWALI AU MAONI, BONYEZA HAPA?
Bwana Yesu asifiwe!! Karibu sana PROSHABO.COM, kwa pamoja...
KIPI KINAHITAJI MAANDALIZI SANA KATI YA NDOA NA HARUSI?
Shalom mpendwa wangu katika Kristo Yesu, Leo katika kona yetu hii ya mahusiano ya uchumba na...
YESU ATAKUPONYA.
Bwana Yesu asifiwe…
Kwa ufupi,
“Hata walipokosa nafasi ya kumpeleka ndani kwa ajili...
Kusulubiwa Na Kufa na Kufufuka Kwa Yesu Kristo!
Leo nataka tutafakari kwa Pamoja mojawapo ya somo muhimu sana katika maisha ya Ukristo kwa kuwa...