MUHAMMAD ALIKUWA NA WAKE ZAIDI YA 20
Сообщение 2021-12-24 22:48:32
0
5Кб
Huu ni MSIBA mkubwa sana.
Ifuatayo ni orodha ya wake wa Muhammad iliyoandaliwa na mwanazuoni wa kiislam Ali Dashti. Huenda alitegemea sana orodha ya awali iliyo kwenye historia ya al-Tabari juzuu ya 9 uk.126-241. Ni vema ikafahamika kuwa wanazuoni na Hadithi hawakubaliani kikamilifu juu ya wake wa Muhammad. Kwa mfano, baadhi ya hadithi (mbali ya Bukhari or Sahih Muslim) zinaelezea wake kadhaa wa Muhammad aliowataliki, na hawa hawakuonyeshwa hapa. Hata hivyo, Orodha ya Ali Dashti, ingawa inaweza isikubaliwe kikamilifu kuwa pana kiasi cha kutisha, inaonyesha wengi wa wake wake. Ufuatao ni ushahidi wa mahusiano hayo toka kwenye hadithi usiomtegemea Ali Dashti.
- Khadija/Khadijah binti Khuwailid/Khywaylid – alikufa kwanza
- Sawda/Sauda binti Zam’a
- Aisha/Aesha/’A’ishah – umri wa miaka 8 hadi 9, mke wa pili
- Omm/’Umm Salama/Salamah
- Hafsa/Hafsah
- Zaynab/Zainab wa Jahsh
- Jowayriya/Juwairiyya binti Harith
- Omm Habiba
- Safiya/Safiyya binti Huyai/Huyayy binti Akhtab
- Maymuna/Maimuna wa Hareth
- Fatima/Fatema/Fatimah
- Hend/Hind
- Asma wa Saba
- Zaynab wa Khozayma
- Habla?
- Asma owaNoman / binti al-Nu’man ¾ watumwa/vimada ¾
- Mariam Mkristo/Mkhufti
- Rayhana/Raihana/Rayhanah binti Zayd/Zaid ¾ mahusiano ambayo hayana uhakika ¾
- 19. Omm Sharik
- Maymuna/Maimuna (mjakazi?)
- Zaynab/Zainab wa tatu?
- Khawla / Khawlah ¾ Ali Dashti huenda akawa ameacha si chini ya wake tisa.
Muhammad alioa wanawake 15 na alikamilisha ndoa kwa tendo la ndoa na wanawake 13 (al-Tabari juzuu ya 9 uk.126-127).
Bukhari juzuu ya 1 kitabu cha 5 sura ya 25 na.282 uk.172-173 ilisema kuwa [wakati fulani] Muhammad alikuwa na wake tisa.
Hii ndio sifa kubwa ya Muhammad. Alio wake kede kede, zaidi ya hapo, alikuwa na vijakazi wa kingono kile kona.
Eti huyu alikuwa mtume wa Mwenyezi Mungu, THUBUTU.
Ni mimi Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo,
Поиск
Категории
- BIBLICAL FINANCIAL EDUCATION
- SPIRITUAL EDUCATION
- MASWALI & MAJIBU
- WORLD'S EDUCATION
- MAHUSIANO KIBIBLIA
- Injili Ya Yesu Kristo
- OTHERS
Больше
Verse by verse explanation of Exodus 13
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 39 questions at the...
The Holy Spirit Dwells Within
I want to speak to you this month on the Holy Spirit. Today it will be "The Holy Spirit Dwells...
Biblia inasema je ju ya chale/ kujitoboa mwili?
Agano la kale liliwaamuru waIsraeli, “Msiikate miili yenu kwa ajili ya wafu wala kuchanja...
USIKUBALI KUFA KIFO CHA KIPUMBAVU.
2Samweli 2:31-34 na Zaburi 14:1 ‘Mpumbavu amesema moyoni, mwake hakuna...
613 LAWS OF JEHOVAH GOD
KUSOMA KWA KISWAHILI, BONYEZA HAPA
THE 613 MITZVOT
Contextual material for the...