ALLAH: UTATA KATIKA UUMBAJI WA MAJINI
Je, Majini yaliumbwaje?
Leo hii tutajifunza UTATA wa Allah katika uumbaji wa Majini. Hebu tusome kwanza hii aya kutoka Koran iliyo shushwa na Jibril ambaye ni msaidizi wa Allah.
Quran 15: 27. Na Majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. ***
Katika aya hapo juu tumesoma kuwa Allah aliumba Majini kwa "MOTO" wa upepo Umoto. Hivyo ndivyo Majini yaliumbwa kutokana na Koran. Lakini nilipo soma kwa uzaidi na au undani Je, Allah aliumba vipi vitu vyote vyenye uhai, nilibakia nikishangaa kama Majini nayo yapo kwenye viumbe vyenye uhai. Hebu soma hii aya hapa chini.
Quran 21: 30. Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukaumba kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini? ***
Katika aya tuliyo isoma ya 30. Allaha anasema kuwa aliumba kila kitu chenye uhai kupitia 'MAJI" Je, Majini ni viumbe vyenye uhai. Kama ni kweli, kwanini Koran inatuambia kuwa Majini yaliumbwa kupitia MOTO.
Ndugu zanguni, leo, kwa mara nyingine tena Allah amesema UONGO.
Kwanini tumfuate Allah mwenye kigeugeu namna hii?
Search
Categories
- BIBLICAL FINANCIAL EDUCATION
- SPIRITUAL EDUCATION
- MASWALI & MAJIBU
- WORLD'S EDUCATION
- MAHUSIANO KIBIBLIA
- Injili Ya Yesu Kristo
- OTHERS
Read More
MKE WA KAINI KATOKEA WAPI?
Bwana Yesu asifiwe…
Kwa ufupi;
Ukisoma kitabu cha Mwanzo sura 1-4,utaona Mungu akiwa na...
Verse by verse explanation of 2 Kings 16
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 23 questions at the...
NYOTA KIBIBLIA
Mchungaji Kiongozi: Josephat Gwajima
UTANGULIZI:
Huu ni mwendelezo wa somo la Nyota na...
Verse by verse explanation of 1 Samuel 15
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 36 questions at the...
KWANINI YUDA ESKARIOT ALIMSALITI YESU KRISTO?
Wakati hatuwezi kuwa na hakika kabisa kwa nini Yuda alimsaliti Yesu, baadhi ya mambo fulani ni...