EPUKA UONGO UKIENDELEA KUTENDA DHAMBI BAADA YA KUOKOKA, HUENDI MBINGUNI KAMWE / IF YOU CONTINUE TO SIN AFTER BEING SAVED, YOU WILL NOT GO TO HEAVEN

SWAHILI: Bwana Yesu (ambaye ni Mungu mkuu na mwokozi wetu, Tito 2:13) asifiweeee! Lengo la mafundisho haya ni kuwaonya watu wasiiamini injili ya uongo, inayofundisha kuwa Mkristo aliyeokoka atakwenda Mbinguni, hata kama ataendelea kuishi maisha ya dhambi baada ya kuokoka. Ninakusihi fuatilia mfululizo wa masomo yaliyoorodheshwa hapo chini, na Roho Mtakatifu atazidi kukufundisha kweli yote, kama Kristo Yesu alivyoahidi katika Yohana 14:26.
ENGLISH: Praise the Lord Jesus (who is our great God and Savior, Titus 2:13)! The purpose of this teaching is to warn people not to believe the false gospel, which teaches that a saved Christian will go to Heaven, even if he/she continues to live a sinful life after being saved. I urge you to follow this series of lessons listed below, and the Holy Spirit will continue to teach you all the truth, as Christ Jesus promised in John 14:26.
- SOMO LA 1 / SUBJECT 1
- SOMO LA 2 / SUBJECT 2
- SOMO LA 3 / SUBJECT 3
MUNGU AKUBARIKI SANA / MAY GOD BLESS YOU ABUNDANTLY

- BIBLICAL FINANCIAL EDUCATION
- SPIRITUAL EDUCATION
- MASWALI & MAJIBU
- WORLD'S EDUCATION
- MAHUSIANO KIBIBLIA
- Injili Ya Yesu Kristo
- OTHERS