EPUKA UONGO UKIENDELEA KUTENDA DHAMBI BAADA YA KUOKOKA, HUENDI MBINGUNI KAMWE / IF YOU CONTINUE TO SIN AFTER BEING SAVED, YOU WILL NOT GO TO HEAVEN

0
7K

SWAHILI: Bwana Yesu (ambaye ni Mungu mkuu na mwokozi wetu, Tito 2:13)  asifiweeee! Lengo la mafundisho haya ni kuwaonya watu wasiiamini injili ya uongo, inayofundisha kuwa Mkristo aliyeokoka atakwenda Mbinguni, hata kama ataendelea kuishi maisha ya dhambi baada ya kuokoka. Ninakusihi fuatilia mfululizo wa masomo yaliyoorodheshwa hapo chini, na Roho Mtakatifu atazidi kukufundisha kweli yote, kama Kristo Yesu alivyoahidi katika Yohana 14:26.

ENGLISH: Praise the Lord Jesus (who is our great God and Savior, Titus 2:13)! The purpose of this teaching is to warn people not to believe the false gospel, which teaches that a saved Christian will go to Heaven, even if he/she continues to live a sinful life after being saved. I urge you to follow this series of lessons listed below, and the Holy Spirit will continue to teach you all the truth, as Christ Jesus promised in John 14:26.

  1. SOMO LA 1 / SUBJECT 1
    1. KISWAHILI: Tuliangalie fundisho la uongo kuwa ukiokoka, umeokolewa milele.
    2. ENGLISH: Looking at the false doctrine of, once saved, always saved 
  2. SOMO LA 2 / SUBJECT 2
    1. KISWAHILI: Ukweli kuhusu haki ipatikanayo kwa imani
    2. ENGLISH: The truth about righteousness found in faith
  3. SOMO LA 3 / SUBJECT 3
    1. KISWAHILI: Epuka injili ya uongo (Audio iliyoahidiwa)

MUNGU AKUBARIKI SANA / MAY GOD BLESS YOU ABUNDANTLY

Love
1
Search
Categories
Read More
Injili Ya Yesu Kristo
KUJA KWA YESU KRISTO MARA YA PILI DUNIANI NA VITA YA HAR-MAGEDONI
Neno la Uzima kutoka kwa  Askofu Zachary Kakobe        ...
By GOSPEL PREACHER 2022-01-12 00:33:56 0 6K
Injili Ya Yesu Kristo
UMEJIAANDAJE KWA TUKIO LA UNYAKUO? (Sehemu ya 1)
Nakusalimu kwa jina la Yesu! Ili uweze kuelewa somo hili mpenzi msomaji nakushauri tafuta muda...
By GOSPEL PREACHER 2021-11-23 13:07:03 0 5K
JUDGES
Book of Judges Explained
Title: The book bears the fitting name “Judges,” which refers to unique leaders...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-25 08:58:35 0 6K
SPIRITUAL EDUCATION
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA
By Martin Laizer 2024-01-07 15:03:27 0 9K
SPIRITUAL EDUCATION
MJUE YESU KRISTO ILI UWE NA AKILI NA UFAHAMU
MJUE YESU KRISTO ILI UWE NA UFAHAMU NA AKILI
By Martin Laizer 2024-01-02 11:38:05 0 4K