-
19 Записей
-
10 Фото
-
1 Видео
-
Stationary в Dar es Salaam
-
Проживает в Dar es Salaam
-
Из Dar es Salaam
-
Образование Form 4 в Lumo Secondary School
-
Female
-
Читают 24 человек
Недавние обновления
-
Bwana YESU KRISTO apewe sifa
Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa.
Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipendaBwana YESU KRISTO apewe sifa Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa. Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipenda6 Комментарии 0 Поделились 2Кб Просмотры 0 предпросмотр2
Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать! -
Rehoboth
Bwana ametufanyia nafasi
GVS-BuzaRehoboth Bwana ametufanyia nafasi GVS-Buza13 Комментарии 0 Поделились 2Кб Просмотры 114 0 предпросмотр
3
-
Happybirth day to me namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunzeHappybirth day to me🥞🍔🎂 namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunze🙏🙏🙏🙏💪🤗19 Комментарии 0 Поделились 2Кб Просмотры 0 предпросмотр
4
-
Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo
Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo12 Комментарии 0 Поделились 2Кб Просмотры 0 предпросмотр
2
-
BWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNIBWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNI12 Комментарии 0 Поделились 2Кб Просмотры 0 предпросмотр
3
-
Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:3 Комментарии 0 Поделились 3Кб Просмотры 15 0 предпросмотр2
-
Dhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-wDhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-w
9 Комментарии 0 Поделились 2Кб Просмотры 0 предпросмотр
2
-
Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:4 Комментарии 0 Поделились 2Кб Просмотры 5 0 предпросмотр
3
-
Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:11 Комментарии 0 Поделились 2Кб Просмотры 0 предпросмотр
4
-
Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako.
kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako. kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:8 Комментарии 0 Поделились 2Кб Просмотры 18 0 предпросмотр1
Больше