-
19 Entradas
-
10 Fotos
-
1 Videos
-
Stationary at Dar es Salaam
-
Vive en Dar es Salaam
-
De Dar es Salaam
-
Estudiado Form 4 at Lumo Secondary School
-
Female
-
seguida por 24 people
Actualizaciones Recientes
-
Bwana YESU KRISTO apewe sifa
Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa.
Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipendaBwana YESU KRISTO apewe sifa Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa. Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipenda6 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa2
Please log in to like, share and comment! -
Rehoboth
Bwana ametufanyia nafasi
GVS-BuzaRehoboth Bwana ametufanyia nafasi GVS-Buza13 Commentarios 0 Acciones 2K Views 114 0 Vista previa
3
-
Happybirth day to me namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunzeHappybirth day to me🥞🍔🎂 namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunze🙏🙏🙏🙏💪🤗19 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
4
-
Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo
Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo12 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
2
-
BWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNIBWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNI12 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
3
-
Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:3 Commentarios 0 Acciones 3K Views 15 0 Vista previa2
-
Dhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-wDhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-w
9 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
2
-
Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:4 Commentarios 0 Acciones 2K Views 5 0 Vista previa
3
-
Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:11 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
4
-
Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako.
kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako. kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:8 Commentarios 0 Acciones 2K Views 18 0 Vista previa1
Quizás te interese…