-
19 Beiträge
-
10 Fotos
-
1 Videos
-
Stationary als Dar es Salaam
-
Lebt in Dar es Salaam
-
Von Dar es Salaam
-
Von 2005-2006 Form 4 als Lumo Secondary School
-
Female
-
Follower 24 Menschen
Neueste Updates
-
Bwana YESU KRISTO apewe sifa
Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa.
Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipendaBwana YESU KRISTO apewe sifa Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa. Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipenda6 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen2
Bitte loggen Sie sich ein, um liken, teilen und zu kommentieren! -
Rehoboth
Bwana ametufanyia nafasi
GVS-BuzaRehoboth Bwana ametufanyia nafasi GVS-Buza13 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 114 0 Bewertungen
3
-
Happybirth day to me namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunzeHappybirth day to me🥞🍔🎂 namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunze🙏🙏🙏🙏💪🤗19 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
4
-
Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo
Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo12 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
2
-
BWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNIBWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNI12 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
3
-
Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:3 Kommentare 0 Geteilt 3KB Ansichten 15 0 Bewertungen2
-
Dhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-wDhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-w
9 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
2
-
Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:4 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 5 0 Bewertungen
3
-
Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:11 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
4
-
Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako.
kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako. kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:8 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 18 0 Bewertungen1
Mehr Storys