Atualizações recentes
  • Bwana YESU KRISTO apewe sifa
    Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa.
    Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipenda
    Bwana YESU KRISTO apewe sifa Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa. Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipenda
    Love
    2
    6 Comentários 0 Compartilhamentos 1KB Visualizações 0 Anterior
  • Rehoboth
    Bwana ametufanyia nafasi
    GVS-Buza
    Rehoboth Bwana ametufanyia nafasi GVS-Buza
    Like
    Love
    3
    13 Comentários 0 Compartilhamentos 1KB Visualizações 114 0 Anterior
  • Happybirth day to me namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunze
    Happybirth day to me🥞🍔🎂 namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunze🙏🙏🙏🙏💪🤗
    Love
    Like
    4
    19 Comentários 0 Compartilhamentos 1KB Visualizações 0 Anterior
  • Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo
    Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo
    Like
    Love
    2
    12 Comentários 0 Compartilhamentos 1KB Visualizações 0 Anterior
  • BWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNI
    BWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNI
    Like
    Love
    Wow
    3
    12 Comentários 0 Compartilhamentos 1KB Visualizações 0 Anterior
  • Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:
    Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:
    Love
    2
    3 Comentários 0 Compartilhamentos 2KB Visualizações 15 0 Anterior
  • Dhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-w
    Dhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-w
    Like
    Love
    2
    9 Comentários 0 Compartilhamentos 2KB Visualizações 0 Anterior
  • Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:
    Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:
    Love
    Like
    3
    4 Comentários 0 Compartilhamentos 1KB Visualizações 5 0 Anterior
  • Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:
    Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:
    Like
    Love
    4
    11 Comentários 0 Compartilhamentos 948 Visualizações 0 Anterior
  • Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako.
    kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:
    Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako. kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:
    Love
    1
    8 Comentários 0 Compartilhamentos 983 Visualizações 18 0 Anterior
Mais stories