Hivi Karibuni
-
Nimebarikiwa mno kwa somo, vipi kuhusu wewe?
https://proshabo.com/blogs/1623/BORA-KUTESEKA-MIKONONI-MWA-MUNGU-KULIKO-KUPATA-RAHA-MIKONONI-MWANimebarikiwa mno kwa somo, vipi kuhusu wewe? https://proshabo.com/blogs/1623/BORA-KUTESEKA-MIKONONI-MWA-MUNGU-KULIKO-KUPATA-RAHA-MIKONONI-MWAPROSHABO.COMBORA KUTESEKA MIKONONI MWA MUNGU,KULIKO KUPATA RAHA MIKONONI MWA...Bwana Yesu asifiwe … Kwa ufupi. Kuwa mikononi mwa Mungu haina maana hakuna mateso. Mateso yapo pia katika Bwana,utakutana nayo tu kwa sababu hata Yesu aliteswa; Na ndio maana Neno linatuambia kwamba wale wote wapendao kuishi maisha ya utauwa,wataudhiwa ( 2 Timotheo 3:12). Lakini ni...Tafadhali ingia kwenye akaunti ili kupenda, kushiriki na kutoa maoni! -
IN DEED JESUS IS COMING, so let us repent our sins and live the holy life.IN DEED JESUS IS COMING, so let us repent our sins and live the holy life.
-
Hello Julius, wishing you God's grace & mercy upon your life.Hello Julius, wishing you God's grace & mercy upon your life.
-
Daniel Saldoty alishiriki chapisho la PROSPER HABONA ambalo ni audio2022-02-18 21:36:43 - Tafsiri -*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
0 Maoni 0 Shiriki 947 Mitazamo 80 0 Reviews -
Daniel Saldoty alishiriki chapisho la PROSPER HABONA ambalo ni audio2022-02-18 21:35:53 - Tafsiri -*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
-
0 Maoni 0 Shiriki 907 Mitazamo 0 Reviews
-
Daniel Saldoty alishiriki chapisho la Philip Nshekanabo ambalo ni picha2021-12-04 21:17:41 - Tafsiri -Utakuwa mtu bora sana, ukiishinda dhambi hii.Utakuwa mtu bora sana, ukiishinda dhambi hii.0 Maoni 0 Shiriki 1K Mitazamo 0 Reviews
Hadithi zaidi