Mises à jour récentes
-
Nimebarikiwa mno kwa somo, vipi kuhusu wewe?
https://proshabo.com/blogs/1623/BORA-KUTESEKA-MIKONONI-MWA-MUNGU-KULIKO-KUPATA-RAHA-MIKONONI-MWANimebarikiwa mno kwa somo, vipi kuhusu wewe? https://proshabo.com/blogs/1623/BORA-KUTESEKA-MIKONONI-MWA-MUNGU-KULIKO-KUPATA-RAHA-MIKONONI-MWAPROSHABO.COMBORA KUTESEKA MIKONONI MWA MUNGU,KULIKO KUPATA RAHA MIKONONI MWA...Bwana Yesu asifiwe … Kwa ufupi. Kuwa mikononi mwa Mungu haina maana hakuna mateso. Mateso yapo pia katika Bwana,utakutana nayo tu kwa sababu hata Yesu aliteswa; Na ndio maana Neno linatuambia kwamba wale wote wapendao kuishi maisha ya utauwa,wataudhiwa ( 2 Timotheo 3:12). Lakini ni...Connectez-vous pour aimer, partager et commenter! -
IN DEED JESUS IS COMING, so let us repent our sins and live the holy life.IN DEED JESUS IS COMING, so let us repent our sins and live the holy life.
-
Hello Julius, wishing you God's grace & mercy upon your life.Hello Julius, wishing you God's grace & mercy upon your life.
-
*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
0 Commentaires 0 Parts 949 Vue 80 0 Aperçu -
Daniel Saldoty partagée PROSPER HABONA 's audio2022-02-18 21:35:53 - Traduire -*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
-
0 Commentaires 0 Parts 909 Vue 0 Aperçu
-
Utakuwa mtu bora sana, ukiishinda dhambi hii.Utakuwa mtu bora sana, ukiishinda dhambi hii.0 Commentaires 0 Parts 1KB Vue 0 Aperçu
Plus de lecture