Actualizaciones Recientes
-
Nimebarikiwa mno kwa somo, vipi kuhusu wewe?
https://proshabo.com/blogs/1623/BORA-KUTESEKA-MIKONONI-MWA-MUNGU-KULIKO-KUPATA-RAHA-MIKONONI-MWANimebarikiwa mno kwa somo, vipi kuhusu wewe? https://proshabo.com/blogs/1623/BORA-KUTESEKA-MIKONONI-MWA-MUNGU-KULIKO-KUPATA-RAHA-MIKONONI-MWA
PROSHABO.COMBORA KUTESEKA MIKONONI MWA MUNGU,KULIKO KUPATA RAHA MIKONONI MWA...Bwana Yesu asifiwe … Kwa ufupi. Kuwa mikononi mwa Mungu haina maana hakuna mateso. Mateso yapo pia katika Bwana,utakutana nayo tu kwa sababu hata Yesu aliteswa; Na ndio maana Neno linatuambia kwamba wale wote wapendao kuishi maisha ya utauwa,wataudhiwa ( 2 Timotheo 3:12). Lakini ni...6 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
4
Please log in to like, share and comment! -
IN DEED JESUS IS COMING, so let us repent our sins and live the holy life.IN DEED JESUS IS COMING, so let us repent our sins and live the holy life.1 Commentarios 0 Acciones 1K Views 0 Vista previa1
-
Hello Julius, wishing you God's grace & mercy upon your life.Hello Julius, wishing you God's grace & mercy upon your life.5 Commentarios 0 Acciones 878 Views 0 Vista previa
7
-
*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
0 Commentarios 0 Acciones 2K Views 80 0 Vista previa -
Daniel Saldoty compartido PROSPER HABONA audioINJILI KWA MATAIFA YOTE2022-02-18 21:35:53 - Translate -*MWALIMU: PROSPER HABONA*
*SOMO: EPUKA INJILI YA UONGO*
Injili hii ya uongo na unayopaswa kuiepuka, inaitwa OSAS, na inafundisha kuwa, ukiokoka unakuwa umeokolewa milele, hivyo hata ukitenda dhambi (i.e. uongo, ulevi, uzinzi, tamaa mbaya, mawazo mabaya n.k) bado utaenda mbinguni tu. HUU NI UONGO NA NI IMANI YA KISHETANI, IEPUKE KULIKO UKOMA.
2 Commentarios 1 Acciones 2K Views 80 0 Vista previa1
-
0 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
-
Utakuwa mtu bora sana, ukiishinda dhambi hii.Utakuwa mtu bora sana, ukiishinda dhambi hii.0 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
Quizás te interese…