-
19 المنشورات
-
10 الصور
-
1 الفيديوهات
-
Stationary لدى Dar es Salaam
-
يعيش في Dar es Salaam
-
من Dar es Salaam
-
درس Form 4 لدى Lumo Secondary School
-
Female
-
متابَع بواسطة 24 أشخاص
التحديثات الأخيرة
-
Bwana YESU KRISTO apewe sifa
Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa.
Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipendaBwana YESU KRISTO apewe sifa Umu ndan wachoyo wapo kimya duh.kweli upendo wa wengi utapoa. Hatupeani mialiko.nasubiri mwaliko .nione wangap wananipenda6 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة2
الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا! -
Rehoboth
Bwana ametufanyia nafasi
GVS-BuzaRehoboth Bwana ametufanyia nafasi GVS-Buza13 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 114 0 معاينة
3
-
Happybirth day to me namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunzeHappybirth day to me🥞🍔🎂 namshukuru Sana uyu Mungu kwa kuifikia tarehe hii na wabariki Sana wazazi wangu kwa siku hii Kama ya Leo kunileta dunian.Mungu awatunze🙏🙏🙏🙏💪🤗19 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
4
-
Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo
Bwana yesuu asifiwe? Umundani mpooo12 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
2
-
BWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNIBWANA YESU APEWE SIFA.NAWAKARIBISHA WOTE WANA PROSHABO SIKU YA J.PILI............KARIBUNI12 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
3
-
Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:Unanini cha kumwambia Mungu katika kuumaliza huu mwaka.kipi umefanya kwaajili ya BWANA. Ni mangapi amefanya kwako ndani ya huu mwaka,Baraka zake ,Wema wake kwako hauelezeki, Ebu ungana na mimi kupitia huu wimbo kumwambia Baba Tunashukuru, ni mengi kafanya kwetu uzima tunao,afya njema wapo ambao wamelazwa lakini wewe hujalazwa kwani wewe umemzidi nini aliyelazwa Hospitali , yatima , wasiojiweza? Mungu akawakumbuke. nini zaidi cha kumwambia Bwana zaidi ya Ahsante ebu tafakari wewe mwenyewe :folded-hands: :folded-hands: :folded-hands: :pleading-face: :pleading-face:3 التعليقات 0 المشاركات 3كيلو بايت مشاهدة 15 0 معاينة2
-
Dhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-wDhahabu njema.tupo buza kwa mama kibongea.napokea mialoko https://m.youtube.com/watch?v=jOgUSMN0J-w
9 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
2
-
Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:Yesu ni wa Rehema na anasamehe.Tumrudie yeye kwa kunyenyekea na kwa Toba ya kweli,Anasemehe na anafuta kabisa :church: :man-gesturing-no: :folded-hands:4 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 5 0 معاينة
3
-
Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:Nakupenda sana Mama,Mungu akutunze :smiling-face-with-heart-eyes:11 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
4
-
Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako.
kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:Kupitia wimbo huu. Bwana akatawale Maisha yako akaugange moyo wako na kuuponya na maumivu uliyo nayo na akakupe haja na kiu ya moyo wako. kwa kuwa yeye ni Mkuu :red-heart: :nose:8 التعليقات 0 المشاركات 2كيلو بايت مشاهدة 18 0 معاينة1
المزيد من المنشورات