MAPISHI MBALIMBALI
BIRIANI
VITU VINAVYOHITAJIKA:-
Mafuta ya kula
Nyama kilo 1
Vitunguu maji kilo 1
Viazi mviringo nusu kilo (1/2kg)
Vitunguu saumu robo kilo (1/ kg) gawa mara 2
Tangawizi kipande kimoja (1) kikubwa
Maziwa mtindi paketi 1 ndogo
Papai kipande kimoja 1 kidogo, na kiwe kimeiva kiasi kisiive sana
Nyanya nusu kilo (1/2 kg)
Ndimu robo (1/4) kikombe (ya kukamua)
Nanaa kifungu kimoja (1)
Kotimiri kifungu kimoja (1)
Mchele kilo (1)
Pili-pili mtama ya kusaga nusu kijiko (1/2)
Mdalasini masala kijiko...
Sayfa Oluştur
Read More
Prosper
Prosper I. A. E. Habona, is the famous website designer and system developer, who has designed...
UFUNUO 7
Dalili zote zinaonyesha kuwa tunaishi katika wakati wa kumalizia, kurudi kwa YESU KRISTO mara...
MAJIRA YA KANISA LA SMIRNA
Majira haya ya kanisa la Smirna tutayaona katika {UFUNUO 2:8 -11} ambapo kama...
MAANA HALISI YA IBADA YA KWELI
MAANA HALISI YA IBADA KWA UJUMLA. EBR 10:25
Ibada ni tendo la heshima ya hali ya juu...
ROHO MTAKATIFU NI MUNGU
Ndugu msomaji,Watu wengi hawafahamu kuhusu Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu Ni Nani?Baadhi ya watu...