MAPISHI MBALIMBALI
BIRIANI
VITU VINAVYOHITAJIKA:-
Mafuta ya kula
Nyama kilo 1
Vitunguu maji kilo 1
Viazi mviringo nusu kilo (1/2kg)
Vitunguu saumu robo kilo (1/ kg) gawa mara 2
Tangawizi kipande kimoja (1) kikubwa
Maziwa mtindi paketi 1 ndogo
Papai kipande kimoja 1 kidogo, na kiwe kimeiva kiasi kisiive sana
Nyanya nusu kilo (1/2 kg)
Ndimu robo (1/4) kikombe (ya kukamua)
Nanaa kifungu kimoja (1)
Kotimiri kifungu kimoja (1)
Mchele kilo (1)
Pili-pili mtama ya kusaga nusu kijiko (1/2)
Mdalasini masala kijiko...
More Blogs
Soma Zaidi
KISWAHILI : KIDATO CHA 1
Orodha ya mada zote za somo la Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha 1: BONYEZA HAPA...
Jesus Saves
Jesus saves from what and from who?
Jesus is the most important figure in all of human...
Comforting Bible Verses
Our God cares about us. No matter what is happening, he never leaves us. Scripture tells us God...
DARASA LA 7
Orodha ya masomo yote ya darasa la 7
JE, UNAWEZA KUOKOKA BILA YA KUPITIA YESU?
Je naweza kuingia mbinguni bila kumkubali Yesu kama Bwana na Mwokozi wangu?
Jibu: Hapana, huwezi...