URAFIKI KIBIBLIA
    JE, MAAMUZI YA NANI ATAKUWA MWENZI WAKO WA MAISHA NI YA MUNGU AU YA KWAKO?
    Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; bali mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana”. Ni matumaini yangu kwamba u-mzima kijana mwenzangu na una maendeleo mazuri kiroho na kimwili. Katika waraka huu mfupi kwa vijana nataka kujibu swali hili ambalo vijana wengi wamekuwa wakijiuliza. Wengine kutokana na kutojua ukweli wake wamejikuta wakifanya maamuzi ambayo hadi leo wanayajutia . Kibiblia, tunajua kabisa ni mpango wa Mungu tuweze kuoa au kuolewa. Sasa swali...
    Por GOSPEL PREACHER 2021-11-23 07:28:14 0 5KB
    URAFIKI KIBIBLIA
    ATHARI ZA NGONO NA JINSI YA KUKABILIANA NAZO NA KUSHINDA
    Kama kuna jambo ambalo wengi wetu hatulijui au tu hatujalitilia maanani ni athari zitokanazo na kufanya ngono nje ya ndoa. Pamoja na kuwa ngono inaharibu maisha ya wengi na kuwatoa wengi wetu nje ya reli ya kufukuzia ndoto zao hata kupoteza matumaini ya kufanikiwa, bado kwa sehemu kubwa hatujatoa uwanja mpana wa kuangazia jambo hili, si kwa watoto wetu na vijana wetu tu bali hata kwetu pia watu wazima.Jamii kubwa na hususani Kanisa la Mungu imelinyamazia swala hili isilizungumzie wazi wazi...
    Por GOSPEL PREACHER 2021-11-07 22:48:01 0 8KB
    URAFIKI KIBIBLIA
    JE, NITAJUAJE KAMA YUPO KWA AJILI YA NGONO AU KWA AJILI YA NDOA?
    Hili ni miongoni mwa swali ninaloulizwa na mabinti wengi sana. Kwa hiyo nimeona ni muhimu sana nilijibu.Katika Dunia ya sasa karibu kila kitu kinahusishwa na ngono; matangazo ya biashara karibu yote yanahusishwa na ngono, miziki ya kidunia nayo inahusishwa na ngono, mitindo na uvaaji wa mavazi nao unahusishwa na ngono; na chombo cha ngono pekee kinachotumika katika mambo yote haya ni mwanamke; mwanaume yeye ni kama mtumiaji mlengwa.Katika mazingira haya yote kwa jinsi mwanaume...
    Por GOSPEL PREACHER 2021-11-07 22:23:57 0 5KB
    URAFIKI KIBIBLIA
    JINSI YA KUMJUA MWENZI WAKO ALIYEKUSUDIWA NA MUNGU
    Leo napenda tuangalie mambo yatakayokufanya umjue mwenzi wako wa ndoa uliyekusudiwa na Mungu. Wanaume wapo wengi na si kila mwanaume anafaa kuwa mume wako. Wanawake wapo wengi lkn si kila mwanamke anafaa kuwa mke wako. Anayefaa kuwa mume wa mwingine hafai kuwa mume wako, anayefaa kuwa mke wa mwingine hafai kuwa mke wako. Kumbuka, wewe mwanamke hufanani na kila mwanaume, na wala wewe mwanamume hufanani na kila Mwanamke, Mungu anakupa wa kufanana na wewe, tofauti na hapo mwingine unayemtaka...
    Por GOSPEL PREACHER 2021-11-06 13:01:29 0 6KB
    URAFIKI KIBIBLIA
    KANUNI 7 ZA KUANZISHA NA KUENDESHA URAFIKI
    Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; ….kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua! Mfalme Sulemani (Mhubiri 4:9,10)“Niko radhi nitembee gizani nikiwa na rafiki, kuliko kutembea nuruni nikiwa mwenyewe”-Helen Keller KwanzaSafari ya maisha imekufikisha wapi? Ugenini mbali na marafiki wa zamani? Ndiyo tu umetua katika chuo kigeni au kituo kipya cha kazi? Umezungukwa na nyuso nyingi...
    Por GOSPEL PREACHER 2021-11-06 10:47:13 0 5KB
    URAFIKI KIBIBLIA
    MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOCHAGUA MWENZI
    Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenzi wa maisha Ikiwa wale wanaokusudia kuoana hawataki kuwa na mashaka mengi wala kuwa na mambo kadha wa kadha ya kuwanyima furaha baada ya kufunga ndoa, imewalazimu kufikiria vyema na kwa moyo wote juu ya jambo hili na kwa wakati huu kabla ya kuoana. Ikiwa hatua hii itafanywa kipumbavu, itakuwa mojawapo ya mambo makuu mno yawezayo kuharibu mafao ya mvulana ama msichana wawapo wamekwisha kuoana. Kwao maisha yataonekana kuwa kama mzigo wa laana. Kaitka...
    Por GOSPEL PREACHER 2021-11-06 10:27:57 0 5KB
Blogs
Leia mais
JOB
Verse by verse explanation of Job 9
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 28 questions at the...
Por THE HOLY BIBLE 2022-04-03 03:17:08 0 5KB
Injili Ya Yesu Kristo
JINSI YA KUTOFAUTISHA ROHO WA MUNGU NA ROHO WA SHETANI
JE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA MUNGU?  JE UNAONGOZWA NA ROHO MSAIDIZI WA SHETANI ? ...
Por GOSPEL PREACHER 2021-11-19 05:39:09 0 5KB
Injili Ya Yesu Kristo
OMBENI BILA KUKOMA.
Imeandikwa “ombeni bila kukoma; “1 Wathesalonike 5:17 Bwana Yesu...
Por GOSPEL PREACHER 2022-03-30 05:22:23 0 5KB
Injili Ya Yesu Kristo
KIASI NI NINI KATIKA UKRISTO?
Kiasi kama tafsiri yake  ilivyo ni  kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize...
Por GOSPEL PREACHER 2022-05-21 04:15:18 0 5KB
Injili Ya Yesu Kristo
Ngazi ya Yakobo
Mwanzo 28:10-19 “Yakobo akatoka Beer-sheba, kwenda Harani. Akafika mahali fulani...
Por GOSPEL PREACHER 2022-03-31 14:40:12 0 6KB