JE, MAAMUZI YA NANI ATAKUWA MWENZI WAKO WA MAISHA NI YA MUNGU AU YA KWAKO?
Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; bali mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana”.
Ni matumaini yangu kwamba u-mzima kijana mwenzangu na una maendeleo mazuri kiroho na kimwili. Katika waraka huu mfupi kwa vijana nataka kujibu swali hili ambalo vijana wengi wamekuwa wakijiuliza. Wengine kutokana na kutojua ukweli wake wamejikuta wakifanya maamuzi ambayo hadi leo wanayajutia .
Kibiblia, tunajua kabisa ni mpango wa Mungu tuweze kuoa au kuolewa. Sasa swali...
ATHARI ZA NGONO NA JINSI YA KUKABILIANA NAZO NA KUSHINDA
Kama kuna jambo ambalo wengi wetu hatulijui au tu hatujalitilia maanani ni athari zitokanazo na kufanya ngono nje ya ndoa. Pamoja na kuwa ngono inaharibu maisha ya wengi na kuwatoa wengi wetu nje ya reli ya kufukuzia ndoto zao hata kupoteza matumaini ya kufanikiwa, bado kwa sehemu kubwa hatujatoa uwanja mpana wa kuangazia jambo hili, si kwa watoto wetu na vijana wetu tu bali hata kwetu pia watu wazima.Jamii kubwa na hususani Kanisa la Mungu imelinyamazia swala hili isilizungumzie wazi wazi...
JE, NITAJUAJE KAMA YUPO KWA AJILI YA NGONO AU KWA AJILI YA NDOA?
Hili ni miongoni mwa swali ninaloulizwa na mabinti wengi sana. Kwa hiyo nimeona ni muhimu sana nilijibu.Katika Dunia ya sasa karibu kila kitu kinahusishwa na ngono; matangazo ya biashara karibu yote yanahusishwa na ngono, miziki ya kidunia nayo inahusishwa na ngono, mitindo na uvaaji wa mavazi nao unahusishwa na ngono; na chombo cha ngono pekee kinachotumika katika mambo yote haya ni mwanamke; mwanaume yeye ni kama mtumiaji mlengwa.Katika mazingira haya yote kwa jinsi mwanaume...
JINSI YA KUMJUA MWENZI WAKO ALIYEKUSUDIWA NA MUNGU
Leo napenda tuangalie mambo yatakayokufanya umjue mwenzi wako wa ndoa uliyekusudiwa na Mungu. Wanaume wapo wengi na si kila mwanaume anafaa kuwa mume wako. Wanawake wapo wengi lkn si kila mwanamke anafaa kuwa mke wako. Anayefaa kuwa mume wa mwingine hafai kuwa mume wako, anayefaa kuwa mke wa mwingine hafai kuwa mke wako. Kumbuka, wewe mwanamke hufanani na kila mwanaume, na wala wewe mwanamume hufanani na kila Mwanamke, Mungu anakupa wa kufanana na wewe, tofauti na hapo mwingine unayemtaka...
KANUNI 7 ZA KUANZISHA NA KUENDESHA URAFIKI
Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; ….kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua! Mfalme Sulemani (Mhubiri 4:9,10)“Niko radhi nitembee gizani nikiwa na rafiki, kuliko kutembea nuruni nikiwa mwenyewe”-Helen Keller
KwanzaSafari ya maisha imekufikisha wapi? Ugenini mbali na marafiki wa zamani? Ndiyo tu umetua katika chuo kigeni au kituo kipya cha kazi? Umezungukwa na nyuso nyingi...
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOCHAGUA MWENZI
Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenzi wa maisha
Ikiwa wale wanaokusudia kuoana hawataki kuwa na mashaka mengi wala kuwa na mambo kadha wa kadha ya kuwanyima furaha baada ya kufunga ndoa, imewalazimu kufikiria vyema na kwa moyo wote juu ya jambo hili na kwa wakati huu kabla ya kuoana. Ikiwa hatua hii itafanywa kipumbavu, itakuwa mojawapo ya mambo makuu mno yawezayo kuharibu mafao ya mvulana ama msichana wawapo wamekwisha kuoana. Kwao maisha yataonekana kuwa kama mzigo wa laana. Kaitka...
Blogs
Διαβάζω περισσότερα
KWANINI SULEIMAN ALIKUWA NA WAKE MIA SABA (700) NA MASURIA MIA TATU (300)?
Kwenye 1 WaFalme 11:1-3, kwa nini Suleiman alikuwa na wake 700 na Masuria 300, kinyume cha amri...
Je! Mtu Anapofunga Kwa Muda Wa SAA 24,Anapaswa Kunywa Maji Au Kitu Chochote?
JIBU: Biblia haijatoa masharti yoyote ya kufuata katika kufunga kwamba ufunge masaa 12 au 26...
HATARI ZA KUWA NA MAHUSIANO YASIYO SAHIHI
UTANGULIZIMahusiano yasiyo sahihi ni mahusiano ya namna gani? Haya ni mahusiano kwanza kabisa...
FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU: JE NI UPAGANI KAMA WAISLAMU NA MASHAHIDI WA JEHOVA WANAVYODAI? IS TRINITY PAGANISM?
Utangulizi : Siku zote Mkristo Mwana wa Mungu ,anapomuelezea Mungu katika ukuu na uwezo wake,kwa...
KIJANA AU BINTI USIJIDANGANYE, KWENYE NDOA HAUTAISHI NA UMBILE WALA FEDHA
Mwaka fulani kabla sijaoa Mwinjilisti mmoja aliniambia, Sanga, ukitaka kuoa tafuta binti mwenye...