SPIRITUAL EDUCATION
    HATARI YA KUHUBIRI WENGINE LAKINI KUWA MKATALIWA – FUNGUO LA YOHANA 4:23
    Andiko Kuu: Yohana 4:23 – “Lakini wakati unakuja, na upo sasa, hapo waabuduo wa kweli watamwabudu Baba kwa roho na kweli; kwa maana Baba huwatafuta waabuduo wa namna hiyo.” Maudhui: Uhusiano kati ya ibada ya kweli na utume wa kuhubiri injili. UTANGULIZI: UHAKIKA WA KUWA MWEPESI KIIMANI KATIKA KUHUBIRI Katika Kristo, kuna kundi la watu hatari zaidi kuliko wale ambao hawamjui Mungu. Hilo kundi ni wale wanaohubiri wengine, lakini wenyewe...
    από GOSPEL PREACHER 2026-05-31 05:52:53 0 10
    SPIRITUAL EDUCATION
    NGUVU KATIKA UDHAIFU – MUNGU ANAVYOWATUMIA WADHAIFU KUWASHINDISHA WENYE NGUVU
    SEHEMU YA 1: UTANGULIZI – KINZANI NA MANTIKI YA DUNIA Dunia inafundisha: “Nguvu humzaa mafanikio.” Lakini Biblia inafundisha: “Mungu amevichagua vidhaifu vya ulimwengu ili kuviabisha vilivyo na nguvu” (1 Wakorintho 1:27). Mungu hafanyii kazi kwa sheria za wanadamu. Yeye anapenda kuchukua kilichoonekana kuwa cha kudharauliwa, kisicho na maana, na dhaifu, ili kuonesha kwamba utukufu wote ni wake, si wetu. Katika somo hili, tutazama katika maandiko mengi, mifano...
    από GOSPEL PREACHER 2026-05-26 13:24:39 0 53
    SPIRITUAL EDUCATION
    HAIRISHA MAZISHI YAO! (Kufufuka kwa Mwana wa Mjane wa Naini – Luka 7:11-17)
      SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI – MKUTANO KATIKA NJIA Somo la msingi: Luka 7:11-12 "Baada ya hayo, Yesu alikwenda mji uitwao Naini; wanafunzi wake na mkutano mkubwa walifuatana naye. Alipokaribia lango la mji, tazama, walikuwa wamemtoka pale mtu aliyekufa, mwana pekee wa mama yake, naye mama yake alikuwa mjane; na mkutano mkubwa wa watu wa mji huo walikuwa pamoja naye." Maelezo ya kina: Mji wa Naini – Jina linamaanisha "pambo" au "linalopendeza". Lakini...
    από GOSPEL PREACHER 2026-05-24 05:56:04 0 53
    SPIRITUAL EDUCATION
    UPAKO NA UTISHO WA MUNGU – NGUZO YA KUTETEMESHA MATAIFA NA KUVUNJA MAMBO YA KIZAZI CHA ZINAA
    Mstari wa kufungua:“Bwana atawatawala mataifa; Bwana atawaponda watawala wa dunia; atawafanya watetemeke, na kuwachukua kama udongo” (Zaburi 110:5-6, tafsiri huru). SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI WA KINAFSI – KWA NINI KIZAZI HIKI KINAHITAJI UTISHO? Kizazi cha leo: Hakiamini katika Mungu mwenye hasira au hukumu. Kinamwona Mungu kama “rafiki wa karibu” asiyezuia dhambi. Kinaishi zinaa kwa utamaduni – mahusiano ya ngono bila ndoa,...
    από GOSPEL PREACHER 2026-05-14 13:33:27 1 100
    SPIRITUAL EDUCATION
    BIASHARA 10 AMBAZO ZIPO CHINI YA GHADHABU YA MUNGU NA HAUPASWI KUZIFANYA
      Biashara ni shughuli ya kiuchumi inayomwongezea mtu kipato na kuondoa umaskini. Kuna Biblia zinazotoka kwa Bwana Yesu Kristo na Kuna Biashara Zinazotoka kwa shetani. Biashara Zinazotoka kwa shetani huwa Kuna bidhaa zinampeleka mtu Jehanamu ya moto akizitumia kwa kujua au kutojua .Kuna Biashara ukifanya unakuwa chini ya Ghadhabu ya Mungu kwa sababu unakuwa wakala wa shetani, unamsaidia shetani Kupeleka...
    από GOSPEL PREACHER 2026-05-01 02:59:55 0 120
    SPIRITUAL EDUCATION
    No Evidence? Here Are 7 Strong Arguments for God’s Existence — From Science, Philosophy & Histor
    Someone asked if I have even the slightest piece of evidence that God exists. That’s a fair question — so let me give you a serious answer, not just religious slogans. Below are seven lines of reasoning drawn from cosmology, physics, biology, philosophy, morality, and historical analysis. None of them requires you to "turn off your brain" or accept blind faith. Each one invites you to follow the evidence where it leads — whether you believe in God or not. So here they are,...
    από GOSPEL PREACHER 2026-04-18 21:05:08 0 195
    SPIRITUAL EDUCATION
    AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE
    ​Ikiwa wewe ni mwanamume mwenye maono, hatima (destiny), na kusudi, huwezi kuruhusu mwanamke asiye sahihi aharibu maisha yako. Biblia haimung’unyi maneno kuhusu hili; inakupa maonyo ya wazi na makali. Lakini wanaume wengi wanayapuuza na kuishia kufilisika, kuvunjika moyo, na kufungwa.     ​Hizi hapa ni aina 10 za wanawake hatari ambao Maandiko na hekima ya kimungu vinakuamuru ukae nao mbali kabisa: ​ MWANAMKE MZINZI (Mithali...
    από GOSPEL PREACHER 2026-04-11 21:41:10 0 227
    SPIRITUAL EDUCATION
    MAANA HALISI YA IBADA YA KWELI
    MAANA HALISI YA IBADA KWA UJUMLA. EBR 10:25 Ibada ni tendo la heshima ya hali ya juu linalotolewa kwa Mungu au kwa kitu kinachoheshimiwa kama mungu. Ni kitendo cha kuonyesha unyenyekevu, utiifu, shukrani, na utukufu kwa moyo wote. KATIKA MUKTADHA WA IMANI YA KIKRISTO, IBADA INAHUSISHA: Ibada ni tendo la ndani la Kumuabudu Mungu katika Roho na kweli (Yohana 4:24)na ibada hii ya Roho na kweli hudhihirishwa mwilini kwa njia zifuatazo - Kusifu na kuimba nyimbo za kiroho. - Kusujudu, kufunga,...
    από Martin Laizer 2025-11-05 04:57:48 0 1χλμ.
    SPIRITUAL EDUCATION
    UHUSIANO WA JINA NA HATMA YA MTU 1SAMWEL 25:25, MWANZO 32:24-28
    UHUSIANO WA JINA NA HATMA YA MTU. 1SAMWEL 25:25, MWANZO 32:24-28. Moja kati ya teso kubwa la kanisa la Leo ni nguvu iliyo ndani ya Majina waliopewa na wazazi wao, Moja ya zawadi kubwa ambayo mzazi humpa mtoto wake ni jina na hivyo jina hilo litaamua katika Maisha yake aishije na awe nani.  Leo hii wapo watu ambao HATMA zao zimecheleweshwa kwasababu ya Majina waliopewa na wazazi wao, wengine zimeharibika HATMA zao kwasababu ya Majina Yao, wengine wamekuwa na roho ya kukataliwa kwasababu...
    από Martin Laizer 2025-11-05 04:53:38 2 912
    SPIRITUAL EDUCATION
    KWARESMA IPO KIBIBLIA
    KWARESMA IPO KIMAANDIKO?       Kwaresma ni nini?..Je! Kwaresma ipo katika Maandiko?..Na je ni lazima kufunga Kwaresma?, ni dhambi kuikatisha kwaresma? na je! ni dhambi kuishika kwaresma?   Neno Kwaresma limetokana na Neno la kilatini (Quadragesima) lenye maana “YA AROBAINI “… Kwahiyo siku ya 40 ndiyo inayoitwa Kwaresma..Kulingana na mapokeo ya, Madhehebu ya kikristo wanalitumia neno hilo kama kuwakilisha kipindi cha siku 40 cha mfungo kabla ya...
    από Martin Laizer 2025-03-11 02:12:09 2 3χλμ.
    SPIRITUAL EDUCATION
    MZABIBU WA KWELI
                     YOHANE 15:5-10   “Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami nikiwa ndani yake, huyo huzaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote. Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue. Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu, basi, ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa. Baba...
    από Martin Laizer 2025-03-11 02:07:19 0 3χλμ.
    SPIRITUAL EDUCATION
    JE! SISI NI WAFALME NA MAKUHANI KWA NAMNA GANI?
    *Je! sisi ni wafalme na makuhani kwa namna gani?*   Na: Martin Laizer   SWALI: Yohana hapa anasema Bwana ametufanya kuwa Ufalme na Makuhani Ufunuo1:6 …(Sasa hapa anamaanisha sasa hivi sisi ni wafalme na makuhani au ni katika ule umilele ujao?) na je! ni sahihi kumuita mwanamke kuhani??   JIBU: Ndio sasahivi sisi ni ufalme na makuhani wa Bwana katika roho,..kama vile Bwana Yesu alivyokuwa duniani tangu siku za kuzaliwa kwake mpaka siku za kuondoka...
    από Martin Laizer 2024-10-15 09:31:27 5 3χλμ.
Blogs
Sub-Categories
Διαβάζω περισσότερα
OTHERS
KWANINI SULEIMAN ALIKUWA NA WAKE MIA SABA (700) NA MASURIA MIA TATU (300)?
Kwenye 1 WaFalme 11:1-3, kwa nini Suleiman alikuwa na wake 700 na Masuria 300, kinyume cha amri...
από MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-24 21:03:13 0 6χλμ.
NEHEMIAH
Verse by verse explanation of Nehemiah 9
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 31 questions at the...
από THE HOLY BIBLE 2022-04-02 12:31:44 0 6χλμ.
SPIRITUAL EDUCATION
VIFUNGO VYA GIZA VYA MILELE
Luka 8: 30 “Yesu akamwuliza, Jina lako nani? Akasema, Jina langu ni Jeshi; kwa sababu pepo...
από GOSPEL PREACHER 2021-10-30 12:29:31 0 5χλμ.
DEUTERONOMY
Verse by verse explanation of Deuteronomy 23
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 29 questions at the...
από THE HOLY BIBLE 2022-01-25 06:36:17 0 5χλμ.
Injili Ya Yesu Kristo
NAMNA YA KUMWITA,KWENDA NA KUMUOMBA MUNGU ILI AKUSIKILIZE.
Yeremia 29:12 “Nanyi mtaniita,mtakwenda na kuniomba,nami nitawasikiliza”....
από MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-22 03:21:47 0 5χλμ.