KWARESMA IPO KIBIBLIA
KWARESMA IPO KIMAANDIKO?
Kwaresma ni nini?..Je! Kwaresma ipo katika Maandiko?..Na je ni lazima kufunga Kwaresma?, ni dhambi kuikatisha kwaresma? na je! ni dhambi kuishika kwaresma?
Neno Kwaresma limetokana na Neno la kilatini (Quadragesima) lenye maana “YA AROBAINI “… Kwahiyo siku ya 40 ndiyo inayoitwa Kwaresma..Kulingana na mapokeo ya, Madhehebu ya kikristo wanalitumia neno hilo kama kuwakilisha kipindi cha siku 40 cha mfungo kabla ya...
MZABIBU WA KWELI
YOHANE 15:5-10
“Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami nikiwa ndani yake, huyo huzaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote. Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue. Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu, basi, ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa. Baba...
JE! SISI NI WAFALME NA MAKUHANI KWA NAMNA GANI?
*Je! sisi ni wafalme na makuhani kwa namna gani?*
Na: Martin Laizer
SWALI: Yohana hapa anasema Bwana ametufanya kuwa Ufalme na Makuhani Ufunuo1:6 …(Sasa hapa anamaanisha sasa hivi sisi ni wafalme na makuhani au ni katika ule umilele ujao?) na je! ni sahihi kumuita mwanamke kuhani??
JIBU: Ndio sasahivi sisi ni ufalme na makuhani wa Bwana katika roho,..kama vile Bwana Yesu alivyokuwa duniani tangu siku za kuzaliwa kwake mpaka siku za kuondoka...
*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima
*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima
Lebo DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24 MWANZO 4:7.
Lebo
DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24
MWANZO 4:7.
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA
JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.
JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.
MJUE YESU KRISTO ILI UWE NA AKILI NA UFAHAMU
MJUE YESU KRISTO ILI UWE NA UFAHAMU NA AKILI
TENGENEZA MAMBO YA NYUMB YAKO
TENGENEZA MAMBO YA NYUMBA YAKO
Blogs
Sub-Categories
Leia Mais
USHUHUDA: MWANASHERIA MKUU WA SHERIA ZA KIISLAM WA IRAKI AMPOKEA YESU
KUTOKA: KWENYE GIZA LA UDANGANYIFU WA KIISLAMU
HADI: KWENYE NURU YA UTUKUFU WA YESU
Ushuhuda wa...
USIPOKUWA NA WAZO JIPYA HUWEZI KUTOKA MAHALI ULIPO
Salaam katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Katika waraka wa Oktoba 2016 nimeona umuhimu wa...
FUND FUND
Jeremiah Chapter 48
Verses 1-47: The Moabites were descendants of Lot who lived east of the...
Jesus is God
"You are my witnesses," declares the LORD, "and my servant whom I have chosen, so that you...
Verse by verse explanation of 2 Kings 24
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 28 questions at the...