Pesquisar
Conheça novas pessoas, crie conexões e faça novos amigos
-
Faça o login para curtir, compartilhar e comentar!
-
JE NGUVU ZA GIZA ZIPO?Wapo watu wachache ambao huwa hawaamini habari za utendaji wa nguvu za giza,. na wengine huamini kuwa wakisha okoka hawahusiki tena, na mambo yanayohusu nguvu za giza kitu ambacho si kweli, Je umeshawahi kujiuliza kwa nini Bwana Yesu kabla hajaondoka alituombea maombi haya Yoh 17 : 15 ‘Mimi siombi kwamba uwatoe ulimwenguni bali uwalinde na yule mwovu’ ikiwa Bwana Yesu...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
KWA MAANA KUJIZOEZA KUPATA NGUVU ZA MWILI KUNAFAA BALI ZA KIROHO ZAIDI SANAKWA MAANA KUJIZOEZA KUPATA NGUVU ZA MWILI KUNAFAA BALI ZA KIROHO ZAIDI SANA4 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
4
-
MWANAMKE NA NGUVU YA USHAWISHI (UBEMBELEZI)Mwanamke aliumbwa na nguvu ya ushawishi ndani yake kwa kusudi la kuweza kutimiliza jukumu lake katika familia la Kujenga na Kulinda nyumba yake. Lakini kwa bahati mbaya, nguvu hii ya ushawishi ambayo hufanya kazi yake kupitia uwezo wa ubembelezi alionao mwanamke, mara nyingi imekuwa ikitumika vibaya. Mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe akitumia hazina ya uwezo...0 Comentários 0 Compartilhamentos 7KB Visualizações 0 Anterior
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO0 Comentários 0 Compartilhamentos 11KB Visualizações 0 Anterior3
-
BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu0 Comentários 0 Compartilhamentos 8KB Visualizações 0 Anterior1
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA0 Comentários 0 Compartilhamentos 13KB Visualizações 0 Anterior3
-
JINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMUJINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMU0 Comentários 0 Compartilhamentos 12KB Visualizações 0 Anterior
2
-
KAZI ZA IMANI KWA MUAMINI KATIKA KRISTOKAZI KUU 5 ZA IMANI KATIKA MAOMBIA YA MUAMINI0 Comentários 0 Compartilhamentos 11KB Visualizações 0 Anterior2
-
KONA YA USHAURIVITU MUHIMU AMBAVYO KILA MSHAURI ANATAKIWA KUVIJUA ILI AWE MSHAURI MZURI.2 Comentários 0 Compartilhamentos 7KB Visualizações 0 Anterior3
-
KUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANIKUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANI0 Comentários 0 Compartilhamentos 9KB Visualizações 0 Anterior
-
MACHO YA TAI AWINDAE MAWINDO YAKEMacho ya Tai AWINDAE mawindo yake Kila mmoja wetu tunapaswa kuwa na macho ya kuona mbali Hivyo karibu tujifunze SoMo hili muhimu zuri sana,kumbuka kila mnyama anasifa zake lakini Leo hii Tutajifunza juu ya ndege tai2 Comentários 0 Compartilhamentos 18KB Visualizações 0 Anterior4
Páginas impulsionada
Patrocinado
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].