FURAHA YA BWANA NI NGUVU ZAKO.
Mpendwa wangu nina kusalimu katika Jina lipitalo majina yote, Yesu Kristo Mwana wa Mungu Aliye Hai.
Bwana Yesu asifiwe sana. Kabla sijasema na wewe kuhusu somo hili nyeti ambalo ninaamini litazungumza na maisha yako moja kwa moja nianze kwanza kwa kuweka andiko la muhimu sana hapa kama andiko la msingi:
II Korintho 2: 11.
11. Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana...