البحث
إكتشاف أشخاص جدد وإنشاء اتصالات جديدة وصداقات جديدة
-
الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
-
JE NGUVU ZA GIZA ZIPO?Wapo watu wachache ambao huwa hawaamini habari za utendaji wa nguvu za giza,. na wengine huamini kuwa wakisha okoka hawahusiki tena, na mambo yanayohusu nguvu za giza kitu ambacho si kweli, Je umeshawahi kujiuliza kwa nini Bwana Yesu kabla hajaondoka alituombea maombi haya Yoh 17 : 15 ‘Mimi siombi kwamba uwatoe ulimwenguni bali uwalinde na yule mwovu’ ikiwa Bwana Yesu...0 التعليقات 0 المشاركات 6كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
-
KWA MAANA KUJIZOEZA KUPATA NGUVU ZA MWILI KUNAFAA BALI ZA KIROHO ZAIDI SANAKWA MAANA KUJIZOEZA KUPATA NGUVU ZA MWILI KUNAFAA BALI ZA KIROHO ZAIDI SANA4 التعليقات 0 المشاركات 5كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
4
-
MWANAMKE NA NGUVU YA USHAWISHI (UBEMBELEZI)Mwanamke aliumbwa na nguvu ya ushawishi ndani yake kwa kusudi la kuweza kutimiliza jukumu lake katika familia la Kujenga na Kulinda nyumba yake. Lakini kwa bahati mbaya, nguvu hii ya ushawishi ambayo hufanya kazi yake kupitia uwezo wa ubembelezi alionao mwanamke, mara nyingi imekuwa ikitumika vibaya. Mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe akitumia hazina ya uwezo...0 التعليقات 0 المشاركات 7كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO0 التعليقات 0 المشاركات 11كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة3
-
BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 التعليقات 0 المشاركات 5كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu0 التعليقات 0 المشاركات 8كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة1
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA0 التعليقات 0 المشاركات 13كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة3
-
JINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMUJINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMU0 التعليقات 0 المشاركات 12كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
2
-
KAZI ZA IMANI KWA MUAMINI KATIKA KRISTOKAZI KUU 5 ZA IMANI KATIKA MAOMBIA YA MUAMINI0 التعليقات 0 المشاركات 11كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة2
-
KONA YA USHAURIVITU MUHIMU AMBAVYO KILA MSHAURI ANATAKIWA KUVIJUA ILI AWE MSHAURI MZURI.2 التعليقات 0 المشاركات 7كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة3
-
KUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANIKUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANI0 التعليقات 0 المشاركات 9كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة
-
MACHO YA TAI AWINDAE MAWINDO YAKEMacho ya Tai AWINDAE mawindo yake Kila mmoja wetu tunapaswa kuwa na macho ya kuona mbali Hivyo karibu tujifunze SoMo hili muhimu zuri sana,kumbuka kila mnyama anasifa zake lakini Leo hii Tutajifunza juu ya ndege tai2 التعليقات 0 المشاركات 18كيلو بايت مشاهدة 0 معاينة4
الصفحات المعززة
إعلان مُمول
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].