Suche
Entdecken Sie neue Leute, knüpfen Sie neue Kontakte und schließen Sie neue Freundschaften
-
Bitte loggen Sie sich ein, um liken, teilen und zu kommentieren!
-
JE NGUVU ZA GIZA ZIPO?Wapo watu wachache ambao huwa hawaamini habari za utendaji wa nguvu za giza,. na wengine huamini kuwa wakisha okoka hawahusiki tena, na mambo yanayohusu nguvu za giza kitu ambacho si kweli, Je umeshawahi kujiuliza kwa nini Bwana Yesu kabla hajaondoka alituombea maombi haya Yoh 17 : 15 ‘Mimi siombi kwamba uwatoe ulimwenguni bali uwalinde na yule mwovu’ ikiwa Bwana Yesu...0 Kommentare 0 Geteilt 6KB Ansichten 0 Bewertungen
-
KWA MAANA KUJIZOEZA KUPATA NGUVU ZA MWILI KUNAFAA BALI ZA KIROHO ZAIDI SANAKWA MAANA KUJIZOEZA KUPATA NGUVU ZA MWILI KUNAFAA BALI ZA KIROHO ZAIDI SANA4 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
4
-
GOSPEL PREACHERhat ein neuen Blog hinzugefügt MAHUSIANO KIBIBLIA2021-11-07 23:52:21 - Übersetzen -MWANAMKE NA NGUVU YA USHAWISHI (UBEMBELEZI)Mwanamke aliumbwa na nguvu ya ushawishi ndani yake kwa kusudi la kuweza kutimiliza jukumu lake katika familia la Kujenga na Kulinda nyumba yake. Lakini kwa bahati mbaya, nguvu hii ya ushawishi ambayo hufanya kazi yake kupitia uwezo wa ubembelezi alionao mwanamke, mara nyingi imekuwa ikitumika vibaya. Mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe akitumia hazina ya uwezo...0 Kommentare 0 Geteilt 7KB Ansichten 0 Bewertungen
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO0 Kommentare 0 Geteilt 11KB Ansichten 0 Bewertungen3
-
BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 Kommentare 0 Geteilt 5KB Ansichten 0 Bewertungen
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu0 Kommentare 0 Geteilt 8KB Ansichten 0 Bewertungen1
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA0 Kommentare 0 Geteilt 13KB Ansichten 0 Bewertungen3
-
JINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMUJINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMU0 Kommentare 0 Geteilt 12KB Ansichten 0 Bewertungen
2
-
KAZI ZA IMANI KWA MUAMINI KATIKA KRISTOKAZI KUU 5 ZA IMANI KATIKA MAOMBIA YA MUAMINI0 Kommentare 0 Geteilt 11KB Ansichten 0 Bewertungen2
-
KONA YA USHAURIVITU MUHIMU AMBAVYO KILA MSHAURI ANATAKIWA KUVIJUA ILI AWE MSHAURI MZURI.2 Kommentare 0 Geteilt 7KB Ansichten 0 Bewertungen3
-
KUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANIKUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANI0 Kommentare 0 Geteilt 9KB Ansichten 0 Bewertungen
-
MACHO YA TAI AWINDAE MAWINDO YAKEMacho ya Tai AWINDAE mawindo yake Kila mmoja wetu tunapaswa kuwa na macho ya kuona mbali Hivyo karibu tujifunze SoMo hili muhimu zuri sana,kumbuka kila mnyama anasifa zake lakini Leo hii Tutajifunza juu ya ndege tai2 Kommentare 0 Geteilt 18KB Ansichten 0 Bewertungen4
Weitere Ergebnisse
Gesponsert
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].