0 Commentarii
0 Distribuiri
9K Views
0 previzualizare
Căutare
Descoperă oameni noi, creează noi conexiuni și faceti-va noi prieteni
-
Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
-
USHAURI KWA MJANE WAJANEMpenzi msomaji katika category hii ya “maswali na majibu” huwa naandaa masomo yanayolenga kujibu maswali ya wasomaji mbalimbali wa blog hii kama yanavyoulizwa na wasomaji husika kwa njia mbalimbali. Mwezi huu nimeona ni vema nikajibu swali lililoulizwa na dada L kuhusu wajane. Majibu yangu hayakuzuii wewe msomaji mwingine kuongezea majibu yako juu ya maswali wanayouliza...0 Commentarii 0 Distribuiri 9K Views 0 previzualizare
-
ALLAH ANAAPA KWA ALIYE UMBA KIUME NA KIKEJE, NANI KAUMBA KIUME NA KIKE?QURAN 92 1-3 Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike.. Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba. Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea...0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare
-
ALLAH KWA KIEBRANIA MAANA YAKE NI LAANA “CURSE”Ndugu msomaji, Je, hili limetokea kwa bahati mbaya? Isaya 24: 6 Ndiyo sababu laana [“alah”] imeila dunia hii, na hao wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia, ndiyo sababu watu wanaoikaa dunia wameteketea, watu waliosalia wakawa wachache tu. Huu uvumbuzi ulieleweka baada ya kuangalia neno la Kiebrania la “LAANA –CURSE”- linatamkwa kwa Keibrania “alah”...0 Commentarii 0 Distribuiri 7K Views 0 previzualizare
-
Biblia inasema nini juu ya kunywa pombe? Je, ni dhambi kwa mkristo kunywa pombe?Maandiko yana ilani nyingi juu ya kunywa kileo (mambo ya walawi 10:9; hesabu6:3; kumbukumbu la torati 29:6; waamuzi 13:4,7,14; samueli wa kwanza 1:15; methali 20:1; 31:4,6; isaya 5:11;22; 24:9; 28:7; 29:9; 56:12; mika 2:11; luka 1:15). Maandiko hayakatazi mkristo kunywa pombe, divai wala kinywaji chochote chenye kileo ndani. Maana maandiko mengine huzungumzia kileo kwa kuhalalisha matumizi...0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
CHUKI NA MAUDHI KWA MKRISTONeno la Uzima kutoka kwa Askofu Zachary Kakobe Tovuti : www.bishopzacharykakobe.org Facebook : www.facebook.com/bishopkakobeministries Youtube : www.youtube.com/user/bishopkakobe SIKU YA KUICHAMBUA BIBLIA SOMO: CHUKI NA MAUDHI KWA MKRISTO M kristo, ni mtu anayemfuata Yesu...0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
ETI ALLAH AMEKUBALI KUTOA USHAIDI KWA VIUMBE VYAKE?Je, nani atakuwa Hakimu wakati Allah anatoa Ushaidi?NDUGU WASOMAJI, Hivi Allah anaweza kuwa shaidi wakati yeye ndie anadai kuwa alitoa Utume kwa Muhammad? Hivi Mungu anaweza kwenda kutoa Ushaidi kwa viumbe vyake? Nani atakuwa Hakimu wa hiyo Kesi?Katika hii aya hapa chini, mhukumiwa ni Allah aliyedai katoa Utume kwa Muhammad, kivipi na tokea lini Mhukumiwa akawa shaidi katika Kesi yake ya...0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare
-
Eti Biblia inataja mashehe, kwa hiyo inaunga mkono Uislamu!Wahubiri wa ‘injili’ wa Kiislamu wanaendelea kuhaha kuhalalisha quran kupitia Biblia. Nasema ‘kuhaha’ kwa sababu hakika kabisa wana juhudi kubwa mno lakini inasikitisha kwa sababu hakuna hata siku moja waliyowahi kusema jambo lenye ukweli kibiblia linalounga mkono quran kama wasemavyo wao – Mungu ni shahidi yangu. Mara waseme Muhammad ametabiriwa kwenye Biblia;...0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare
-
FURAHA YA MUNGU KWA WATENDAKAZINeno la Uzima kutoka kwa Askofu Zachary Kakobe Tovuti : www.bishopzacharykakobe.org Facebook : www.facebook.com/bishopkakobeministries Youtube : www.youtube.com/user/bishopkakobe SOMO: FURAHA YA MUNGU KWA WATENDAKAZI Tunajifunza somo la msingi katika mfululizo wa masomo ya Shule...0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima2 Commentarii 0 Distribuiri 3K Views 0 previzualizare
-
*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Commentarii 0 Distribuiri 10K Views 0 previzualizare
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO0 Commentarii 0 Distribuiri 11K Views 0 previzualizare3
-
AINA ZA MAGONJWAAINA ZA MAGONJWA NA DAWA YAKE8 Commentarii 1 Distribuiri 17K Views 0 previzualizare3
-
BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu0 Commentarii 0 Distribuiri 8K Views 0 previzualizare1
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA0 Commentarii 0 Distribuiri 13K Views 0 previzualizare3
-
INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .7 Commentarii 0 Distribuiri 7K Views 0 previzualizare3
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Commentarii 0 Distribuiri 7K Views 0 previzualizare
Sponsorizeaza Paginile
Sponsor
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].