0 Maoni
0 Shiriki
9K Mitazamo
0 Reviews
Tafuta
Gundua watu wapya, unda miunganisho mipya na upate marafiki wapya
-
Tafadhali ingia kwenye akaunti ili kupenda, kushiriki na kutoa maoni!
-
USHAURI KWA MJANE WAJANEMpenzi msomaji katika category hii ya “maswali na majibu” huwa naandaa masomo yanayolenga kujibu maswali ya wasomaji mbalimbali wa blog hii kama yanavyoulizwa na wasomaji husika kwa njia mbalimbali. Mwezi huu nimeona ni vema nikajibu swali lililoulizwa na dada L kuhusu wajane. Majibu yangu hayakuzuii wewe msomaji mwingine kuongezea majibu yako juu ya maswali wanayouliza...0 Maoni 0 Shiriki 9K Mitazamo 0 Reviews
-
ALLAH ANAAPA KWA ALIYE UMBA KIUME NA KIKEJE, NANI KAUMBA KIUME NA KIKE?QURAN 92 1-3 Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike.. Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba. Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea...0 Maoni 0 Shiriki 5K Mitazamo 0 Reviews
-
ALLAH KWA KIEBRANIA MAANA YAKE NI LAANA “CURSE”Ndugu msomaji, Je, hili limetokea kwa bahati mbaya? Isaya 24: 6 Ndiyo sababu laana [“alah”] imeila dunia hii, na hao wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia, ndiyo sababu watu wanaoikaa dunia wameteketea, watu waliosalia wakawa wachache tu. Huu uvumbuzi ulieleweka baada ya kuangalia neno la Kiebrania la “LAANA –CURSE”- linatamkwa kwa Keibrania “alah”...0 Maoni 0 Shiriki 7K Mitazamo 0 Reviews
-
Biblia inasema nini juu ya kunywa pombe? Je, ni dhambi kwa mkristo kunywa pombe?Maandiko yana ilani nyingi juu ya kunywa kileo (mambo ya walawi 10:9; hesabu6:3; kumbukumbu la torati 29:6; waamuzi 13:4,7,14; samueli wa kwanza 1:15; methali 20:1; 31:4,6; isaya 5:11;22; 24:9; 28:7; 29:9; 56:12; mika 2:11; luka 1:15). Maandiko hayakatazi mkristo kunywa pombe, divai wala kinywaji chochote chenye kileo ndani. Maana maandiko mengine huzungumzia kileo kwa kuhalalisha matumizi...0 Maoni 0 Shiriki 6K Mitazamo 0 Reviews
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Maoni 0 Shiriki 6K Mitazamo 0 Reviews
-
CHUKI NA MAUDHI KWA MKRISTONeno la Uzima kutoka kwa Askofu Zachary Kakobe Tovuti : www.bishopzacharykakobe.org Facebook : www.facebook.com/bishopkakobeministries Youtube : www.youtube.com/user/bishopkakobe SIKU YA KUICHAMBUA BIBLIA SOMO: CHUKI NA MAUDHI KWA MKRISTO M kristo, ni mtu anayemfuata Yesu...0 Maoni 0 Shiriki 6K Mitazamo 0 Reviews
-
ETI ALLAH AMEKUBALI KUTOA USHAIDI KWA VIUMBE VYAKE?Je, nani atakuwa Hakimu wakati Allah anatoa Ushaidi?NDUGU WASOMAJI, Hivi Allah anaweza kuwa shaidi wakati yeye ndie anadai kuwa alitoa Utume kwa Muhammad? Hivi Mungu anaweza kwenda kutoa Ushaidi kwa viumbe vyake? Nani atakuwa Hakimu wa hiyo Kesi?Katika hii aya hapa chini, mhukumiwa ni Allah aliyedai katoa Utume kwa Muhammad, kivipi na tokea lini Mhukumiwa akawa shaidi katika Kesi yake ya...0 Maoni 0 Shiriki 5K Mitazamo 0 Reviews
-
Eti Biblia inataja mashehe, kwa hiyo inaunga mkono Uislamu!Wahubiri wa ‘injili’ wa Kiislamu wanaendelea kuhaha kuhalalisha quran kupitia Biblia. Nasema ‘kuhaha’ kwa sababu hakika kabisa wana juhudi kubwa mno lakini inasikitisha kwa sababu hakuna hata siku moja waliyowahi kusema jambo lenye ukweli kibiblia linalounga mkono quran kama wasemavyo wao – Mungu ni shahidi yangu. Mara waseme Muhammad ametabiriwa kwenye Biblia;...0 Maoni 0 Shiriki 5K Mitazamo 0 Reviews
-
FURAHA YA MUNGU KWA WATENDAKAZINeno la Uzima kutoka kwa Askofu Zachary Kakobe Tovuti : www.bishopzacharykakobe.org Facebook : www.facebook.com/bishopkakobeministries Youtube : www.youtube.com/user/bishopkakobe SOMO: FURAHA YA MUNGU KWA WATENDAKAZI Tunajifunza somo la msingi katika mfululizo wa masomo ya Shule...0 Maoni 0 Shiriki 6K Mitazamo 0 Reviews
-
*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima2 Maoni 0 Shiriki 3K Mitazamo 0 Reviews
-
*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Maoni 0 Shiriki 10K Mitazamo 0 Reviews
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO0 Maoni 0 Shiriki 11K Mitazamo 0 Reviews3
-
-
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu0 Maoni 0 Shiriki 8K Mitazamo 0 Reviews1
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA0 Maoni 0 Shiriki 13K Mitazamo 0 Reviews3
-
INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .7 Maoni 0 Shiriki 7K Mitazamo 0 Reviews3
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Maoni 0 Shiriki 7K Mitazamo 0 Reviews
More Results
Tangazo hili limedhaminiwa
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].