0 Commentaires
0 Parts
7KB Vue
0 Aperçu
Rechercher
Découvrez de nouvelles personnes, créer de nouvelles connexions et faire de nouveaux amis
-
Connectez-vous pour aimer, partager et commenter!
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2021-12-24 06:18:29 - Traduire -Bible Verses that say “Jesus is God”Some people claim to believe that Jesus was a “good prophet”, but they deny that Jesus is God. If that is you, I would like to encourage you to consider some of these Bible verses: Matthew 1:23 - “Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel,” which is translated, “God with us.” Isaiah 9:6 - For unto...0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
GOSPEL PREACHER2022-06-13 08:14:03 - Traduire -Bwana Aliposema Kuwa Yeye Ni “Mungu Wa Miungu” Alikuwa Na Maana Gani?..Je! Yeye Ni Mungu Wa Sanamu?JIBU: Tukisoma Kumbukumbu 10:17 inasema… “Kwa maana Bwana, Mungu wenu, yeye ndiye Mungu wa miungu, na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, asiyependelea nyuso za watu, wala hakubali rushwa”. Hapa tunaona Mungu anajitambulisha yeye kama “Mungu wa miungu” sasa swali hawa miungu ni wakina nani?. Bwana Yesu alisema mahali fulani katika...0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-06 16:59:17 - Traduire -BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 Commentaires 0 Parts 4KB Vue 0 Aperçu
-
MAX SHIMBA MINISTRIES2022-10-23 05:53:36 - Traduire -FURAHA YA BWANA NI NGUVU ZAKO.Mpendwa wangu nina kusalimu katika Jina lipitalo majina yote, Yesu Kristo Mwana wa Mungu Aliye Hai. Bwana Yesu asifiwe sana. Kabla sijasema na wewe kuhusu somo hili nyeti ambalo ninaamini litazungumza na maisha yako moja kwa moja nianze kwanza kwa kuweka andiko la muhimu sana hapa kama andiko la msingi: II Korintho 2: 11. 11. Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana...
-
GOSPEL PREACHER2022-03-30 05:01:07 - Traduire -KILA ATAKAYELIITIA JINA LA BWANA ATAOKOKA.Kwa ufupi.. Bwana Yesu asifiwe… `` Kwa kuwa,kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka” Warumi 10:13 Ukihitaji kuokoka huna budi kilihitaji Jina la Bwana. Nabii Yoeli anasema,mtu yeyote atakayeliitia Jina la Bwana “ataponywa” Kumbe huna budi kushuka kwa Bwana kwa habari ya uponyaji na kuokoka kwako. Tunaposema “ kuliitia Jina la Bwana” tunamaana ya...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
KWANINI MUHAMMAD ALITAKA KUJINYONGA “COMMIT SUICIDE”?1. MUHAMMAD ALITAKATA KUJINYONGA2. MUHAMMAD ALIPANDA MLIMANI NA KUJARIBU KUJIRUSHA ILI AFE3. AISHA ASEMA MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA Ndugu msomaji, Tunaposoma Biblia tunajifunza kuwa Mungu aliwapa Unabii na Utume watu wake kwa njia ya upendo. Lakini nilipo soma vitabu vya Allah nilikutana na mambo ya ajabu sana. Bila ya kupoteza muda, ngoja niweke vitabu vyake ili na wewe ujisomee...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
LEO TUTAMTAZAMA BWANA YESU NA MUHAMAD NI NANI MWENYE MATUMAINI YENYE UHAKIKA KATI YAOTutapitia kauli zao walizozisema wakiwa Duniani, na kila mmoja atahukumu ni yupi mbora wa kufwata kati ya Bwana Yesu na Muhamad.BWANA YESU ANASEMAYohana 8:12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.Yohana 10:9 Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-10-07 09:24:32 - Traduire -MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO.MAVAZI YA KIKAHABA NI MACHUKIZO KWA BWANA MUNGU WAKO
-
GOSPEL PREACHER2022-06-13 08:18:49 - Traduire -Mungu Alikuwa Anaongea Na Nani Aliposema Na “Tumfanye Mtu Kwa Mfano Wetu”,(Mwanzo 1:26)?Mwanzo 1:26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi JIBU: Mara nyingi Mungu alikuwa anatumia neno “sisi” kama wingi kuashiria kuwa hakufanya mambo yote peke yake, bali alikuwa na wengine aliowashirikisha mawazo yake, Kumbuka...0 Commentaires 0 Parts 5KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-04-24 16:56:29 - Traduire -*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima2 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-11-23 15:32:05 - Traduire -*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Commentaires 0 Parts 10KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-09-25 15:12:47 - Traduire -AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-09-26 06:41:50 - Traduire -AINA ZA MAGONJWAAINA ZA MAGONJWA NA DAWA YAKE
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-07 15:03:27 - Traduire -BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-24 09:44:51 - Traduire -FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-09-25 06:09:55 - Traduire -HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2023-10-17 20:10:29 - Traduire -INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi CHRISTIAN EDUCATION2024-01-24 10:41:33 - Traduire -JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
Plus de résultats
Commandité
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].