0 Commentarii
0 Distribuiri
6K Views
0 previzualizare
Căutare
Descoperă oameni noi, creează noi conexiuni și faceti-va noi prieteni
-
Vă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
-
Dhambi Ni Nini?“Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana yeye ndiye atakaye waokoawatu na dhambi zao,” Mat. 1:21.Dhambi Ni Nini?“...Dhambi ni Uasi”“Kila atendaye dhambi, anafanya uasi, kwa kuwa dhambi ni uasi,” 1 Yoh. 3:4. “Kila lisilo hakini dhambi, na dhambi iko isiyo ya mauti,” 1 Yoh. 5:17. Dhambi isiyo ya mauti ni ile ambayomtu ametubu, yaani...0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
DHAMBI YA MAWAZO MABAYANeno la Uzima kutoka kwa Askofu Zachary Kakobe Tovuti : http://www.bishopzacharykakobe.org Facebook : http://www.facebook.com/bishopkakobeministries Youtube : http://www.youtube.com/user/bishopkakobe SIKU YA KUICHAMBUA BIBLIASOMO: DHAMBI YA MAWAZO MABAYA (MATHAYO 15:19-20) Mawazo mabaya ni dhambi ya mauti kama dhambi nyinginezo ambazo zitamfanya mtu akose uzima wa milele. Katika...0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
EPUKA UONGO UKIENDELEA KUTENDA DHAMBI BAADA YA KUOKOKA, HUENDI MBINGUNI KAMWE / IF YOU CONTINUE TO SIN AFTER BEING SAVED, YOU WILL NOT GO TO HEAVENSWAHILI: Bwana Yesu (ambaye ni Mungu mkuu na mwokozi wetu, Tito 2:13) asifiweeee! Lengo la mafundisho haya ni kuwaonya watu wasiiamini injili ya uongo, inayofundisha kuwa Mkristo aliyeokoka atakwenda Mbinguni, hata kama ataendelea kuishi maisha ya dhambi baada ya kuokoka. Ninakusihi fuatilia mfululizo wa masomo yaliyoorodheshwa hapo chini, na Roho Mtakatifu atazidi kukufundisha kweli...
-
JE DHAMBI NI NINI?Biblia inatueleza kuhusu hii dhambi kuwa ni kitu gani. Inafafanua kuwa dhambi ni “uasi au kuvunja sheria” (1Yohana 3:4). Dhambi ni msukumo wenye nguvu ambao unatufanya sisi tupende kuziendea njia ambazo ni kinyume kabisa na mapenzi ya Mungu. Kwa hiyo, badala ya kubarikiwa kwa kuyafuata mapenzi ya Mungu, tunaadhibiwa kama tutaishi kwa kuzifuata na kuishi kwa kufuata tamaa za Shetani,...0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare
-
Je! Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu ni ipi?SWALI : Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu ni ipi? JIBU: Tukisoma; Mathayo 12:25-32 ” Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. 25 Basi Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, hufanyika ukiwa; tena mji au nyumba yo yote ikifitinika juu ya nafsi yake, haitasimama. 26 Na Shetani akimtoa Shetani,...0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
Je! Kiongozi Wa Dini Anao uwezo Wa Kusamehe Dhambi?SWALI: Je! Ni sahihi kwenda kumfuata kiongozi wa dini kwa mfano Padre na kumpigia magoti kumweleza dhambi zako?.kwasababu imeandikwa “Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; (Yohana 20:23)” JIBU: Kwa kuongezea hapo Bwana Yesu pia alisema.. Mathayo 16:15 “Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa...0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
Je! kuna dhambi kubwa na ndogo?SWALI: Naomba kufahamu Je! Kuna dhambi kubwa na ndogo, na kama hakuna je! Mtu aliyeua na aliyetukana je watapata adhabu sawa? JIBU: Dhambi ni dhambi iwe kubwa au ndogo, zote ni kosa, biblia inasema. Yakobo 2:10 “Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote. 11 Kwa maana yeye aliyesema, Usizini, pia alisema, Usiue. Basi...0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare
-
Je, Biblia inasema nini juu ya Ushoga (ndoa za wanaume kwa wanaume)? Je, Ushoga ni dhambi?Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila...0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare
-
Je, Nina wezaje kupokea msamaha wa dhambi toka kwa Mungu?Matendo ya Mitume 13:38 yasema, “Basi naijulikane kwenu, ndugu zangu ya kuwa kwa huyo mnahubiriwa msamaha wa dhambi.” Msamaha ni nini na kwanini ninauhitaji? Neno “samehe” linamaanisha kusafisha nia au jambo nakulifanya kutokuwa na mawaa yoyote, ku achilia, kufutilia mbali deni. Tunapo kosea mtu, huuliza msamaha wao ili tukarudishe uhusiano. Msamaha...0 Commentarii 0 Distribuiri 5K Views 0 previzualizare
-
*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Commentarii 0 Distribuiri 10K Views 0 previzualizare
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
-
HAZINA YA MTUPALIPO NA HAZINA YA MTU NDIPO NA MOYO WAKE UTAKAPOKUWA
-
INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
-
JINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMUJINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMU
-
KAZI ZA IMANI KWA MUAMINI KATIKA KRISTOKAZI KUU 5 ZA IMANI KATIKA MAOMBIA YA MUAMINI
-
KUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANIKUTUNZZA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MADHABAHU YAKO YA NDANI0 Commentarii 0 Distribuiri 9K Views 0 previzualizare
Sponsorizeaza Paginile
Sponsor
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].