Aggiornamenti recenti
-
PROSPER HABONA2021-10-31 10:17:15 - Translate -Bwana Yesu asifiwe Dorcas!! Barikiwa na somo hili zuri kuhusu UFALME WA MUNGU.
https://proshabo.com/blogs/427/UFALME-WA-MUNGUBwana Yesu asifiwe Dorcas!! Barikiwa na somo hili zuri kuhusu UFALME WA MUNGU. https://proshabo.com/blogs/427/UFALME-WA-MUNGUPROSHABO.COMUFALME WA MUNGUUfalme wa Mungu (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika Injili ya Mathayo) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa Yesu Kristo katika Injili. NenoEffettua l'accesso per mettere mi piace, condividere e commentare! -
Milele na milele sifa za BWANA zivume.
https://m.youtube.com/watch?v=pIbyLFK6cSoMilele na milele sifa za BWANA zivume. https://m.youtube.com/watch?v=pIbyLFK6cSo -
Milele na milele https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4Milele na milele https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4 -
YESU amewazidi wote hakuna kama yeye.
https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4YESU amewazidi wote hakuna kama yeye. https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG40 Commenti 0 condivisioni 1K Views 0 Anteprima -
Nawatakieni mkutano mwema wana masumbwe kahama na MUNGU awabariki sanaNawatakieni mkutano mwema wana masumbwe kahama na MUNGU awabariki sana
-
Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.
-
Ufunuo 2:7 yeye aliye na sikio na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa kula matunda ya uzima, ulio katika bustani ya MUNGU.Ufunuo 2:7 yeye aliye na sikio na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa kula matunda ya uzima, ulio katika bustani ya MUNGU.
-
Ufunuo 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika BWANA tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.Ufunuo 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika BWANA tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
-
-
Altre storie