-
14 Beiträge
-
10 Fotos
-
0 Videos
-
Lebt in Dar es Salaam
-
Von Dar es Salaam
-
Female
-
Single
-
07/03/2000
-
Follower 28 Menschen
Neueste Updates
-
PROSPER HABONAeinen Link geteilt Dorcas Juma & » liest gerade Biblia Takatifu2021-10-31 10:17:15 - Übersetzen -Bwana Yesu asifiwe Dorcas!! Barikiwa na somo hili zuri kuhusu UFALME WA MUNGU.
https://proshabo.com/blogs/427/UFALME-WA-MUNGUBwana Yesu asifiwe Dorcas!! Barikiwa na somo hili zuri kuhusu UFALME WA MUNGU. https://proshabo.com/blogs/427/UFALME-WA-MUNGU
PROSHABO.COMUFALME WA MUNGUUfalme wa Mungu (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika Injili ya Mathayo) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa Yesu Kristo katika Injili. Neno0 Kommentare 0 Geteilt 507 Ansichten 0 Bewertungen1
Bitte loggen Sie sich ein, um liken, teilen und zu kommentieren! -
Milele na milele sifa za BWANA zivume.
https://m.youtube.com/watch?v=pIbyLFK6cSoMilele na milele sifa za BWANA zivume. https://m.youtube.com/watch?v=pIbyLFK6cSo
0 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
2
-
Milele na milele https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4Milele na milele https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4
0 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
3
-
YESU amewazidi wote hakuna kama yeye.
https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4YESU amewazidi wote hakuna kama yeye. https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4
0 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen -
Nawatakieni mkutano mwema wana masumbwe kahama na MUNGU awabariki sanaNawatakieni mkutano mwema wana masumbwe kahama na MUNGU awabariki sana2 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen3
-
Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.8 Kommentare 0 Geteilt 3KB Ansichten 0 Bewertungen
4
-
Ufunuo 2:7 yeye aliye na sikio na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa kula matunda ya uzima, ulio katika bustani ya MUNGU.Ufunuo 2:7 yeye aliye na sikio na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa kula matunda ya uzima, ulio katika bustani ya MUNGU.1 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
5
-
Ufunuo 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika BWANA tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.Ufunuo 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika BWANA tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.2 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
4
-
5 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
4
-
0 Kommentare 0 Geteilt 2KB Ansichten 0 Bewertungen
3
Mehr Storys