-
14 Δημοσιεύσεις
-
10 τις φωτογραφίες μου
-
0 Videos
-
ζει στην Dar es Salaam
-
Από Dar es Salaam
-
Female
-
μόνος
-
07/03/2000
-
ακολουθείται από 28 μέλη
Πρόσφατες ενημερώσεις
-
PROSPER HABONAμοιράστηκε ένα σύνδεσμο Dorcas Juma & είναι Διαβάζω Biblia Takatifu2021-10-31 10:17:15 - Μετάφραση -Bwana Yesu asifiwe Dorcas!! Barikiwa na somo hili zuri kuhusu UFALME WA MUNGU.
https://proshabo.com/blogs/427/UFALME-WA-MUNGUBwana Yesu asifiwe Dorcas!! Barikiwa na somo hili zuri kuhusu UFALME WA MUNGU. https://proshabo.com/blogs/427/UFALME-WA-MUNGU
PROSHABO.COMUFALME WA MUNGUUfalme wa Mungu (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika Injili ya Mathayo) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa Yesu Kristo katika Injili. Neno0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 505 Views 0 Προεπισκόπηση1
Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου! -
Milele na milele sifa za BWANA zivume.
https://m.youtube.com/watch?v=pIbyLFK6cSoMilele na milele sifa za BWANA zivume. https://m.youtube.com/watch?v=pIbyLFK6cSo
0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση
2
-
Milele na milele https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4Milele na milele https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4
0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση
3
-
YESU amewazidi wote hakuna kama yeye.
https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4YESU amewazidi wote hakuna kama yeye. https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4
0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση -
Nawatakieni mkutano mwema wana masumbwe kahama na MUNGU awabariki sanaNawatakieni mkutano mwema wana masumbwe kahama na MUNGU awabariki sana2 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση3
-
Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.8 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 3χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση
4
-
Ufunuo 2:7 yeye aliye na sikio na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa kula matunda ya uzima, ulio katika bustani ya MUNGU.Ufunuo 2:7 yeye aliye na sikio na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa kula matunda ya uzima, ulio katika bustani ya MUNGU.1 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση
5
-
Ufunuo 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika BWANA tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.Ufunuo 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika BWANA tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.2 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση
4
-
5 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση
4
-
0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 2χλμ. Views 0 Προεπισκόπηση
3
και άλλες ιστορίες