-
14 Articles
-
10 Photos
-
0 Vidéos
-
Habitant Dar es Salaam
-
Du Dar es Salaam
-
Female
-
Célibataire
-
07/03/2000
-
Suivi par 28 membre
Mises à jour récentes
-
PROSPER HABONApartage un lien Dorcas Juma & est Lecture Biblia Takatifu2021-10-31 10:17:15 - Traduire -Bwana Yesu asifiwe Dorcas!! Barikiwa na somo hili zuri kuhusu UFALME WA MUNGU.
https://proshabo.com/blogs/427/UFALME-WA-MUNGUBwana Yesu asifiwe Dorcas!! Barikiwa na somo hili zuri kuhusu UFALME WA MUNGU. https://proshabo.com/blogs/427/UFALME-WA-MUNGU
PROSHABO.COMUFALME WA MUNGUUfalme wa Mungu (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika Injili ya Mathayo) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa Yesu Kristo katika Injili. Neno0 Commentaires 0 Parts 505 Vue 0 Aperçu1
Connectez-vous pour aimer, partager et commenter! -
Milele na milele sifa za BWANA zivume.
https://m.youtube.com/watch?v=pIbyLFK6cSoMilele na milele sifa za BWANA zivume. https://m.youtube.com/watch?v=pIbyLFK6cSo
0 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
2
-
Milele na milele https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4Milele na milele https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4
0 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
3
-
YESU amewazidi wote hakuna kama yeye.
https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4YESU amewazidi wote hakuna kama yeye. https://m.youtube.com/watch?v=UCpWU-wwiG4
0 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu -
Nawatakieni mkutano mwema wana masumbwe kahama na MUNGU awabariki sanaNawatakieni mkutano mwema wana masumbwe kahama na MUNGU awabariki sana2 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu3
-
Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.Iweni hodari na moyo wa ushujaa, musiogope wala musihofu kwa maana BWANA MUNGU wako yeye ndiye anae kwenda pamoja nawe, hata kupungukia wala kukuacha. TORATI 31:6. @MUNGU hajawahi kumuacha aliye wake hajali nani anasema vipi, nani anamchukia na nani anampaka matope, ila yupo kwa ajili ya kutimiza kusudi lake juu yako. Amina.8 Commentaires 0 Parts 3KB Vue 0 Aperçu
4
-
Ufunuo 2:7 yeye aliye na sikio na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa kula matunda ya uzima, ulio katika bustani ya MUNGU.Ufunuo 2:7 yeye aliye na sikio na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa kula matunda ya uzima, ulio katika bustani ya MUNGU.1 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
5
-
Ufunuo 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika BWANA tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.Ufunuo 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika BWANA tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.2 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
4
-
5 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
4
-
0 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
3
Plus de lecture