Mises à jour récentes
-
UKWELI KUHUSU DUNIA YETU.Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia na kusema ya kuwa dunia ipo bapa yaani flat na sio sphere au duara kama tulivyozoea.Kama dunia ingekuwa inazunguka eastwards at 1000miles/hour basi;> Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie.>...0 Commentaires 0 Parts 7KB Vue 0 AperçuConnectez-vous pour aimer, partager et commenter!
-
0 Commentaires 0 Parts 1KB Vue 0 Aperçu
-
"DUNIA SIO TUFE KAMA MPIRA" JE UMBO LA DUNIA BI LIPI?Usibitisho wa kibiblia kuhusu umbo la duniaWatu wengi wakizaliwa ukimuuliza kabla hajapata elimu ya kijografia, atasema dunia ni tambalale na sio tufe kama mpira, lakini elimu ya kisayansi ya jografi ndio inatudanganya wengi wetu!Leo ni usibitisho wa kibiblia kuwa dunia sio tufe bali ni tambarale na duara kama chapati tu!*Kwanza tuangalie sifa za dunia yetu Dunia ni duara(Isaya 40:22) Dunia ina...1 Commentaires 0 Parts 8KB Vue 0 Aperçu
-
0 Commentaires 0 Parts 1KB Vue 0 Aperçu
Plus de lecture