JONAH
    YONA 4
    Bwana wetu YESU KRISTO atukuzwe. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa neema hii mpya ya kujifunza Neno lake. Leo tukiwa ukingoni kabisa wa kitabu cha Yona ile sura ya nne. Kama tulivyojifunza katika sura zilizotangulia, Nabii Yona anawakilisha kundi la wakristo pamoja na wahubiri walio vuguvugu wa Imani biblia inawaita wanawali wapumbavu, ambao walipaswa kuingia na Bwana wao katika karamu lakini kwasababu Taa zao hazikuwa na mafuta ya ziada wakaachwa. Kwasababu walikisia tu kwamba yale mafuta...
    By GOSPEL PREACHER 2022-01-20 03:14:39 0 6K
    JONAH
    YONA 3
    Bwana wetu YESU KRISTO ahimidiwe milele na milele. AMEN. Karibu tujifunze Neno la Mungu, leo tukiwa katika ile sura ya 3 ya kitabu cha Nabii Yona. Katika sura zilizotangulia tuliona jinsi taabu na dhiki alizopitia Yona zinafananishwa na dhiki watakazokuja kupitia wakristo waliovuguvugu (wanawali wapumbavu mathayo 25) watakaokosa unyakuo. Pia tuliona kama vile Yona alivyomezwa na Yule samaki mkubwa atokaye baharini na kukaa muda wa siku tatu katika lile tumbo, hawa nao...
    By GOSPEL PREACHER 2022-01-20 03:12:44 0 7K
    JONAH
    YONA 2
    Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe. Karibu katika mwendelezo wetu wa kitabu cha nabii Yona. Tukiwa katika sura ya pili, tulishaona katika sura iliyopita jinsi Yona alivyojitenga na mapenzi ya Mungu kwa kukataa kwenda katika njia zake, na kujikuta akingukia mambo mabaya badala ya mema kwa kumezwa na yule nyangumi mkubwa, na tukaona kuwa habari hiyo inafunua siri ya kanisa la Kristo katika wakati wa siku hizi za mwisho, kwa wale wakristo vuguvugu wa kanisa la mwisho la Laodikia...
    By GOSPEL PREACHER 2022-01-20 03:04:34 0 6K
    JONAH
    YONA 1
    Yona alikuwa mmoja wa manabii wa Israeli wakati wa utawala wa Yeroboamu Mfalme wa Israeli, ambaye Mungu alimtumia sana kutoa unabii kadha wa kadha katika Israeli, kama tunavyomsoma katika (2Wafalme 14:21-25). Lakini ilifika wakati BWANA akataka kumtuma kwa watu wa Mataifa, Mji wa NINAWI uliokuwa mji mkuu wa Taifa la ASHURU ambalo kwa wakati ule lilikuwa ni moja ya ngome yenye nguvu duniani ndilo lililokuja baadaye kuhusika kuwachukua wana wa Israeli...
    By GOSPEL PREACHER 2022-01-20 03:02:57 0 8K
More Blogs
Description
Learn various facts about God, which are found in the book of Jonah.
Read More
HOLY BIBLE
Jesus' Two Natures: God and Man
Jesus is the most important person who has ever lived since he is the savior, God in human...
By MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-24 05:45:51 0 5K
GENESIS
Verse by verse explanation of Genesis 24
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 57 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-21 05:59:17 0 6K
JUDGES
Verse by verse explanation of Judges 9
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 61 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-25 10:56:35 0 6K
JUDGES
Verse by verse explanation of Judges 4
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 41 questions at the...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-25 10:49:09 0 6K
OLD TESTAMENT
THE BOOK OF EXODUS
Welcome to Proshabo Online Bible Study (POBS). This is the best platform for you to study your...
By THE HOLY BIBLE 2022-01-28 01:38:46 0 6K