Leo Allah ameamua kutueleza kuwa, watu watakuwa wanakula nini huko Jehannam. Soma aya hapa chini:
Quran 88:6. Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba.
Quran 69: 36. Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni.
Sasa angalia UTATA UNAPO INGIA: Quran 39: 62-69
62. Je! Kukaribishwa hivi si ndio bora, au mti wa Zaqqum? ***63. Hakika Sisi tumeufanya huo kuwa ni mateso kwa walio dhulumu. ***64. Hakika huo ni mti unao toka katikati ya Jahannamu. ***65. Mashada ya matunda yake kama kwamba vichwa vya mashet'ani. ***66. Basi hakika bila ya shaka hao watayala hayo, na wajaze matumbo. ***67. Kisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji yamoto yaliyo chemka. ***68. Kisha hakika marejeo yao bila ya shaka yatakuwa kwenye Jahannamu. ***
Ndugu zanguni, Koran ni kitabu cha ajabu sana, maana kinapingana kila sehemu. Leo tumesoma nini watu watakula Jehannam. Hivyo, kuhusu mada hii moja peke yake, Qur'ani ina utata tatu:
"Kula matunda ya mti wa Zaqqum" (37:66) inapingana na "kula tu Dhari" (88:6).
"Kula matunda ya mti wa Zaqqum" (37:66) inapingana na "kula tu pus mchafu" (69:36).
"Kula tu Dhari" (88:6) inapingana na "kula tu pus mchafu" (69:36).
Koran imejaa UATATA na si kitabu cha Mwenyezi Mungu.
Mungu awabariki sana,
Поиск
Категории
- BIBLICAL FINANCIAL EDUCATION
- SPIRITUAL EDUCATION
- MASWALI & MAJIBU
- WORLD'S EDUCATION
- MAHUSIANO KIBIBLIA
- Injili Ya Yesu Kristo
- OTHERS
Больше
Verse by verse explanation of 1 Kings 13
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 32 questions at the...
WHAT DOES IT MEAN TO BE BORN AGAIN?
This term “born again” first appears in the Bible in John chapter three......
USIFUATE MAMBO YAKO TU!!
Ipo faida ya kufuata mambo yako na kutojishughulisha na mambo ya wengine!.. Lakini pia ipo...
The Healings of Jesus Christ
Individuals Who Demonstrated Faith
References of Individuals Who Received Their Healing by Faith...
Book of Leviticus Explained
Book of Leviticus
Leviticus 1:1 says the “the Lord called unto Moses, and spake unto him...