HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD HAJUI KAMA ATAINGIA PEPONI AU MOTONI

0
5K
 
1. Allah ashindwa kumwakikishia Muhamamd wapi ataingia baada ya kifo.
2. Muhammad akiri kuwa yeye hataingia peponi.
3. Muhammad akiri kuwa Waislam wote wataingia Jehannam.
Ndugu wasomaji,
Leo hii naanza moja kwa moja na ushahid wa Quran kuwa, Muhamamd hajui atafanywa nini baada ya kiifo. Huu ni Msiba mkubwa sana kwa Waislam wanao fuata unabii wa Muhammad asiye juwa wapi anaenda.
Qur’an 46;9 (Surat Al-Ahqaf) Sema; mimi si kiroja (mpya) katika mitume wala sijui nitakavyofanywa, wala mtakavyofanywa ninyi, sifuati yaliyofunuliwa kwangu, sikuwa mie lolote, ila ni muonyaji tu ninayedhihirisha.
Hadithi ya Abu Huraira (r.a) amesema, Mtume wa Allah (s.a.w) amesema, “Hakuna yeyote miongoni mwenu atayeokolewa na amali yake” Wakasema hata wewe mtume wa Allah? Mtume (S.A.W) akasema, “Wala mimi isipokuwa anifunike Allah kwa rehema zake; hivyo fanyeni amali njema kwa uadilifu” (Bukhari Hadithi Na. 470, Juzuu ya
Hadithi ya Aisha kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema, “Fanyeni yaliyo sahihi na yatekelezeni, na furahini kwa kuwa hakuna yeyote atakayeingiziwa peponi kwa amali (matendo) yake” Wakauliza ‘hata wewe mtume wa Allah?’ Mtume (s.a.w) akasema, ‘Hata mimi isipokuwa kama Allah atanifunika kwa rehema zake” (Bukhari Hadihthi Na. 474, Juzuu ya
Sasa kama mtume mwenyewe hajui hatima yake siku ya mwisho kuna haja gani Wakristo tunaojitamua kuufuata UISLAMU? Yaani tumwache Yesu mwenye uhakika na watu wake na kile atakachowapa wanaomfuata
Yohana 10;27-28
27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata.
28 Nami nawapa uzima wa milele, wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.
Eti tuufuate Uislamu chini ya kiongozi Muhammad ambaye hajui hatima yake kama ataenda peponi, au ataenda motoni, bila shaka kwa Mkristo anayejitambua hawezi kuwa Muislamu.
Hakika Muhammad alikuwa Mtume Bandia na Allah ni Mpinga Mungu.
Karibuni kwa Yesu aliye hai,
Max Shimba Ministries Org.
Search
Categories
Read More
Injili Ya Yesu Kristo
MASWALI YA KITABU CHA MWANZO
MASWALI YA KITABU CHA MWANZO KWA WATOTO Nani alimwuzia mwenzake haki ya...
By PROSPER HABONA 2024-01-07 04:56:40 0 3K
2 KINGS
Book of 2 Kings Explained
Book of 2 Kings Title: See introduction from 1 Kings. The books of Kings were originally one...
By THE HOLY BIBLE 2022-03-19 19:06:52 0 7K
Injili Ya Yesu Kristo
Jinsi Ya Kumpokea Roho Mtakatifu
“Je Unajua kuwa watumishi wengi sasa wanaogopa kufanya maombezi ya kuombea watu ujazo wa...
By GOSPEL PREACHER 2022-04-01 15:48:30 0 7K
SPIRITUAL EDUCATION
ALLAH IS NOT TRIUNE
The final proof that Allah is not Yahweh Elohim of the Holy Bible is that Allah is not a...
By MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-22 19:46:05 0 9K
Injili Ya Yesu Kristo
Why did Jesus have to die?
When we ask a question such as this, we must be careful that we are not calling God into...
By MAX SHIMBA MINISTRIES 2021-12-23 10:39:49 0 5K