UKWELI KUHUSU DUNIA YETU.

0
7KB
Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia na kusema ya kuwa dunia ipo bapa yaani flat na sio sphere au duara kama tulivyozoea.

Kama dunia ingekuwa inazunguka eastwards at 1000miles/hour basi;
> Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie.
> Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
> Dunia inazunguka kuelekea east, hvyo ndege ikipaa west na ikawa inalekea east na ikawa inatembea 500miles/hour basi basi destination yake inatakiwa iwe inaiacha mara mbili maana spidi ya dunia kuzunguka ni kubwa.
kwa upande wa gravity.

> Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
ukweli kuhusu flight mbalimbali
> Hakuna flight inayopita juu ya antarctica, mtu akitokea south africa anaenda south america lazma apitie kwanza europe ili kurefuel kwanini akati kutokana na shape ya dunia yao huyo mtu anaeza akanyooka moja kwa moja.
> Kwa dunia ya flat ukitoka south africa ni straight hadi south america na europe ipo katikati.
> Kwa dunia ya flat antarctica continent ndo kwenye ukingo wa dunia na ukipitiliza umetoka duniani, hivyo basi hata wataalam wanaamini ya kwamba ndege ya malaysia na yenyewe ilipoteza dira na kupita juu ya antarctica hvyo kutoka nje ya dunia.

Wanasema pia ili mwezi upatwe lazma dunia iwe katikati ya jua na mwezi.. ila kuna cases kibao mwezi unapatwa na watu ambao kwa bado ni mchana wanauona mwez juu.....

Hayo ni machache tu kwa leo... the shape of the earth its computerized.. the picture of earth from the moon its made in hollywood studios.
 
Rechercher
Catégories
Lire la suite
Injili Ya Yesu Kristo
ZIJUE FUMBO ZA ADUI SHETANI ILI ZISIKUNASE
Kati ya yale makanisa 7 tunayoyasoma katika kitabu cha Ufunuo, Kanisa la Thiatira, lilikuwa ni la...
Par GOSPEL PREACHER 2023-08-19 23:32:40 0 7KB
PSALMS
Verse by verse explanation of Psalm 10
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 29 questions at the...
Par THE HOLY BIBLE 2022-04-04 23:21:35 0 6KB
REVELATION
UTAWALA WA MIAKA 1000
Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze maandiko matakatifu, kama Biblia inavyosema...
Par GOSPEL PREACHER 2021-10-30 12:39:10 0 6KB
ESTHER
ESTA SURA YA 8, 9 & 10
Jina la YESU KRISTO BWANA wetu lisifiwe. Karibu kwenye mwendelezo wa kitabu cha Esta, leo...
Par GOSPEL PREACHER 2022-01-20 02:55:34 0 6KB
GENESIS
Verse by verse explanation of Genesis 16
Praise the Lord Jesus Christ, please study this chapter and then answer all 28 questions at the...
Par THE HOLY BIBLE 2022-01-21 04:52:01 0 5KB