I am an evangelist from Arusha
-
48 Postari
-
6 Fotografii
-
1 Video
-
Evangelist la Arusha
-
Traieste in Arusha, Tanzania
-
Din Arusha, Tanzania
-
Studiat Theology la UniversityClass of Degree
-
Male
-
Insurat
-
08/01/1988
-
Urmarit de 25 people
Recent Actualizat
-
MAANA HALISI YA IBADA YA KWELIMAANA HALISI YA IBADA KWA UJUMLA. EBR 10:25 Ibada ni tendo la heshima ya hali ya juu linalotolewa kwa Mungu au kwa kitu kinachoheshimiwa kama mungu. Ni kitendo cha kuonyesha unyenyekevu, utiifu, shukrani, na utukufu kwa moyo wote. KATIKA MUKTADHA WA IMANI YA KIKRISTO, IBADA INAHUSISHA: Ibada ni tendo la ndani la Kumuabudu Mungu katika Roho na kweli (Yohana 4:24)na ibada hii ya Roho na kweli...0 Commentarii 0 Distribuiri 524 Views 0 previzualizareVă rugăm să vă autentificați pentru a vă dori, partaja și comenta!
-
UHUSIANO WA JINA NA HATMA YA MTU 1SAMWEL 25:25, MWANZO 32:24-28UHUSIANO WA JINA NA HATMA YA MTU. 1SAMWEL 25:25, MWANZO 32:24-28. Moja kati ya teso kubwa la kanisa la Leo ni nguvu iliyo ndani ya Majina waliopewa na wazazi wao, Moja ya zawadi kubwa ambayo mzazi humpa mtoto wake ni jina na hivyo jina hilo litaamua katika Maisha yake aishije na awe nani. Leo hii wapo watu ambao HATMA zao zimecheleweshwa kwasababu ya Majina waliopewa na wazazi wao,...0 Commentarii 0 Distribuiri 400 Views 0 previzualizare
-
KWARESMA IPO KIBIBLIAKWARESMA IPO KIMAANDIKO? Kwaresma ni nini?..Je! Kwaresma ipo katika Maandiko?..Na je ni lazima kufunga Kwaresma?, ni dhambi kuikatisha kwaresma? na je! ni dhambi kuishika kwaresma? Neno Kwaresma limetokana na Neno la kilatini (Quadragesima) lenye maana “YA AROBAINI “… Kwahiyo siku ya 40 ndiyo inayoitwa Kwaresma..Kulingana na mapokeo ya,...2 Commentarii 0 Distribuiri 2K Views 0 previzualizare
-
MZABIBU WA KWELIYOHANE 15:5-10 “Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami nikiwa ndani yake, huyo huzaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote. Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue. Mkikaa...0 Commentarii 0 Distribuiri 2K Views 0 previzualizare
-
JE! SISI NI WAFALME NA MAKUHANI KWA NAMNA GANI?*Je! sisi ni wafalme na makuhani kwa namna gani?* Na: Martin Laizer SWALI: Yohana hapa anasema Bwana ametufanya kuwa Ufalme na Makuhani Ufunuo1:6 …(Sasa hapa anamaanisha sasa hivi sisi ni wafalme na makuhani au ni katika ule umilele ujao?) na je! ni sahihi kumuita mwanamke kuhani?? JIBU: Ndio sasahivi sisi ni ufalme na makuhani wa Bwana katika roho,..kama vile...5 Commentarii 0 Distribuiri 2K Views 0 previzualizare
-
*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima2 Commentarii 0 Distribuiri 3K Views 0 previzualizare
-
Lebo DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24 MWANZO 4:7.Lebo DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24 MWANZO 4:7.0 Commentarii 0 Distribuiri 4K Views 0 previzualizare
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Commentarii 0 Distribuiri 7K Views 0 previzualizare
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu0 Commentarii 0 Distribuiri 8K Views 0 previzualizare1
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-500 Commentarii 0 Distribuiri 6K Views 0 previzualizare1
Mai multe povesti