I am an evangelist from Arusha
-
-
-
-
-
-
-
Class of Degree
-
-
-
-
Atualizações Recentes
-
KWARESMA IPO KIBIBLIAKWARESMA IPO KIMAANDIKO? Kwaresma ni nini?..Je! Kwaresma ipo katika Maandiko?..Na je ni lazima kufunga Kwaresma?, ni dhambi kuikatisha kwaresma? na je! ni dhambi kuishika kwaresma? Neno Kwaresma limetokana na Neno la kilatini (Quadragesima) lenye maana “YA AROBAINI “… Kwahiyo siku ya 40 ndiyo inayoitwa Kwaresma..Kulingana na mapokeo ya,...2 Comentários 0 Compartilhamentos 1K Visualizações 0 AnteriorFaça Login para curtir, compartilhar e comentar!
-
MZABIBU WA KWELIYOHANE 15:5-10 “Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami nikiwa ndani yake, huyo huzaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote. Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue. Mkikaa...0 Comentários 0 Compartilhamentos 1K Visualizações 0 Anterior
-
JE! SISI NI WAFALME NA MAKUHANI KWA NAMNA GANI?*Je! sisi ni wafalme na makuhani kwa namna gani?* Na: Martin Laizer SWALI: Yohana hapa anasema Bwana ametufanya kuwa Ufalme na Makuhani Ufunuo1:6 …(Sasa hapa anamaanisha sasa hivi sisi ni wafalme na makuhani au ni katika ule umilele ujao?) na je! ni sahihi kumuita mwanamke kuhani?? JIBU: Ndio sasahivi sisi ni ufalme na makuhani wa Bwana katika roho,..kama vile...5 Comentários 0 Compartilhamentos 2K Visualizações 0 Anterior
-
*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima2 Comentários 0 Compartilhamentos 2K Visualizações 0 Anterior
-
Lebo DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24 MWANZO 4:7.Lebo DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24 MWANZO 4:7.0 Comentários 0 Compartilhamentos 2K Visualizações 0 Anterior
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Comentários 0 Compartilhamentos 6K Visualizações 0 Anterior
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
-
BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Comentários 0 Compartilhamentos 6K Visualizações 0 Anterior
-
JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.0 Comentários 0 Compartilhamentos 7K Visualizações 0 Anterior
Mais Stories