I am an evangelist from Arusha
-
-
-
-
-
-
-
Classe de Degree
-
-
-
-
Mises à jour récentes
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2025-03-11 02:12:09 - Traduire -KWARESMA IPO KIBIBLIAKWARESMA IPO KIMAANDIKO? Kwaresma ni nini?..Je! Kwaresma ipo katika Maandiko?..Na je ni lazima kufunga Kwaresma?, ni dhambi kuikatisha kwaresma? na je! ni dhambi kuishika kwaresma? Neno Kwaresma limetokana na Neno la kilatini (Quadragesima) lenye maana “YA AROBAINI “… Kwahiyo siku ya 40 ndiyo inayoitwa Kwaresma..Kulingana na mapokeo ya,...2 Commentaires 0 Parts 1KB Vue 0 AperçuConnectez-vous pour aimer, partager et commenter!
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2025-03-11 02:07:19 - Traduire -MZABIBU WA KWELIYOHANE 15:5-10 “Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami nikiwa ndani yake, huyo huzaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote. Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue. Mkikaa...0 Commentaires 0 Parts 1KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-10-15 09:31:27 - Traduire -JE! SISI NI WAFALME NA MAKUHANI KWA NAMNA GANI?*Je! sisi ni wafalme na makuhani kwa namna gani?* Na: Martin Laizer SWALI: Yohana hapa anasema Bwana ametufanya kuwa Ufalme na Makuhani Ufunuo1:6 …(Sasa hapa anamaanisha sasa hivi sisi ni wafalme na makuhani au ni katika ule umilele ujao?) na je! ni sahihi kumuita mwanamke kuhani?? JIBU: Ndio sasahivi sisi ni ufalme na makuhani wa Bwana katika roho,..kama vile...5 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-04-24 16:56:29 - Traduire -*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima2 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-03-06 08:37:24 - Traduire -Lebo DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24 MWANZO 4:7.Lebo DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24 MWANZO 4:7.0 Commentaires 0 Parts 2KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi CHRISTIAN EDUCATION2024-01-24 10:41:33 - Traduire -JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-24 09:44:51 - Traduire -FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-22 10:52:31 - Traduire -JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-07 15:03:27 - Traduire -BINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABABINTI YA KUHANI YE YOTE ATAKAPOJITIA UNAJISI KWA UKAHABA0 Commentaires 0 Parts 6KB Vue 0 Aperçu
-
Martin Laizer Ajouter une nouvelle offre d'emploi SPIRITUAL EDUCATION2024-01-06 17:28:15 - Traduire -JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.0 Commentaires 0 Parts 7KB Vue 0 Aperçu
Plus de lecture