I am an evangelist from Arusha
-
48 Entradas
-
6 Fotos
-
1 Videos
-
Evangelist at Arusha
-
Vive en Arusha, Tanzania
-
De Arusha, Tanzania
-
Estudiado Theology at UniversityClass of Degree
-
Male
-
Married
-
08/01/1988
-
seguida por 25 people
Actualizaciones Recientes
-
MAANA HALISI YA IBADA YA KWELIMAANA HALISI YA IBADA KWA UJUMLA. EBR 10:25 Ibada ni tendo la heshima ya hali ya juu linalotolewa kwa Mungu au kwa kitu kinachoheshimiwa kama mungu. Ni kitendo cha kuonyesha unyenyekevu, utiifu, shukrani, na utukufu kwa moyo wote. KATIKA MUKTADHA WA IMANI YA KIKRISTO, IBADA INAHUSISHA: Ibada ni tendo la ndani la Kumuabudu Mungu katika Roho na kweli (Yohana 4:24)na ibada hii ya Roho na kweli...0 Commentarios 0 Acciones 524 Views 0 Vista previaPlease log in to like, share and comment!
-
UHUSIANO WA JINA NA HATMA YA MTU 1SAMWEL 25:25, MWANZO 32:24-28UHUSIANO WA JINA NA HATMA YA MTU. 1SAMWEL 25:25, MWANZO 32:24-28. Moja kati ya teso kubwa la kanisa la Leo ni nguvu iliyo ndani ya Majina waliopewa na wazazi wao, Moja ya zawadi kubwa ambayo mzazi humpa mtoto wake ni jina na hivyo jina hilo litaamua katika Maisha yake aishije na awe nani. Leo hii wapo watu ambao HATMA zao zimecheleweshwa kwasababu ya Majina waliopewa na wazazi wao,...0 Commentarios 0 Acciones 400 Views 0 Vista previa
-
KWARESMA IPO KIBIBLIAKWARESMA IPO KIMAANDIKO? Kwaresma ni nini?..Je! Kwaresma ipo katika Maandiko?..Na je ni lazima kufunga Kwaresma?, ni dhambi kuikatisha kwaresma? na je! ni dhambi kuishika kwaresma? Neno Kwaresma limetokana na Neno la kilatini (Quadragesima) lenye maana “YA AROBAINI “… Kwahiyo siku ya 40 ndiyo inayoitwa Kwaresma..Kulingana na mapokeo ya,...2 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
-
MZABIBU WA KWELIYOHANE 15:5-10 “Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami nikiwa ndani yake, huyo huzaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote. Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue. Mkikaa...0 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
-
JE! SISI NI WAFALME NA MAKUHANI KWA NAMNA GANI?*Je! sisi ni wafalme na makuhani kwa namna gani?* Na: Martin Laizer SWALI: Yohana hapa anasema Bwana ametufanya kuwa Ufalme na Makuhani Ufunuo1:6 …(Sasa hapa anamaanisha sasa hivi sisi ni wafalme na makuhani au ni katika ule umilele ujao?) na je! ni sahihi kumuita mwanamke kuhani?? JIBU: Ndio sasahivi sisi ni ufalme na makuhani wa Bwana katika roho,..kama vile...5 Commentarios 0 Acciones 2K Views 0 Vista previa
-
*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima*Nini maana ya usijiongezee hekima mno? (Mhubiri 7:16b)* Swali: Kwanini biblia ikataze kujiongezea hekima2 Commentarios 0 Acciones 3K Views 0 Vista previa
-
Lebo DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24 MWANZO 4:7.Lebo DHAMBI YAKO INAKUFUATA NYUMA 1TIMO 5:24 MWANZO 4:7.0 Commentarios 0 Acciones 4K Views 0 Vista previa
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Commentarios 0 Acciones 7K Views 0 Vista previa
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu0 Commentarios 0 Acciones 8K Views 0 Vista previa1
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-500 Commentarios 0 Acciones 6K Views 0 Vista previa1
Quizás te interese…