0 Comentários
0 Compartilhamentos
7KB Visualizações
0 Anterior
Pesquisar
Conheça novas pessoas, crie conexões e faça novos amigos
-
Faça o login para curtir, compartilhar e comentar!
-
JE, MUHAMMAD AU JIBRIL NI ROHO YA KWELI/ROHO MTAKATIFU?Leo nitawajibu Waislam wote duniani kwa kutumia Biblia Takatifu kuwa Muhammad hakuwa Roho ya Kweli kama alivyo ahidiwa na Yesu Kristo ambaye ni Bwana na Mwokozi wetu. Mara nyingi Waislam wanauliza, "Roho ya Kweli ni nani ambaye Yesu alimuhadi katika Yohana 16 aya ya 12 mpaka 14. Nimekuwa nikiwauliza Waislam, hivi wao wanafikiri huyu Roho wa Kweli ni nani? Na wakanijibu kuwa huyo Roho wa Kweli...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
MAX SHIMBA MINISTRIESadicionou um novo artigo Injili Ya Yesu Kristo2021-12-22 06:20:18 - Traduzir -Kweli 100 Kuhusu Yesu1. Yesu alidai kuwa Mungu, (Yohana 8:24, 8: 56-59 (angalia Kutoka 3:14), Yohana 10: 30-33) 2. Yesu anaitwa Mungu, (Yohana 1: 1, 14; 20:28; Kol 2: 9, Tito 2:13; Ebr 1: 8.) 3. Yesu ni mfano wa Mungu asiyeonekana, (Ebr 1: 3.) 4. Yesu anaishi milele, (Ebr. 7:24) 5. Yesu aliumba vitu vyote, (Yohana 1: 1-3; Kol 1: 15-17) 6. Yesu kabla ya vitu vyote, (Yohana 1: 1-3; Kol 1:17) 7. Yesu ni wa milele,...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
MAANA HALISI YA IBADA YA KWELIMAANA HALISI YA IBADA KWA UJUMLA. EBR 10:25 Ibada ni tendo la heshima ya hali ya juu linalotolewa kwa Mungu au kwa kitu kinachoheshimiwa kama mungu. Ni kitendo cha kuonyesha unyenyekevu, utiifu, shukrani, na utukufu kwa moyo wote. KATIKA MUKTADHA WA IMANI YA KIKRISTO, IBADA INAHUSISHA: Ibada ni tendo la ndani la Kumuabudu Mungu katika Roho na kweli (Yohana 4:24)na ibada hii ya Roho na kweli...0 Comentários 0 Compartilhamentos 531 Visualizações 0 Anterior
-
Mitume Wote Waliopita Walikuwa Ni Watu Weupe Hata Manabii Wote Waliopita Hadi Ma-Papa Ni Ngozi Nyeupe. Ni Kweli Ngozi Nyeusi Ililaaniwa ?JIBU: Hakuna ngozi yoyote iliyolaaniwa, watu wote kwa Mungu ni sawa, Mungu hana upendeleo kwa jamii fulani ya watu, Pia ni muhimu kufahamu utendaji kazi wa Mungu katikati ya wanadamu tangu kuumbwa kwao, Mungu alimchagua Ibrahimu na kumbariki yeye na uzao wake, kuanzia hapo Bwana Mungu aliliteua taifa moja pekee ambalo atashughulika nalo katika mpango wake wa wokovu kwa wanadamu (yaani...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
MZABIBU WA KWELIYOHANE 15:5-10 “Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami nikiwa ndani yake, huyo huzaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote. Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. Watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue. Mkikaa...0 Comentários 0 Compartilhamentos 2KB Visualizações 0 Anterior
-
NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE ULIYE MUNGU WA PEKEE, WA KWELI NA YESU KRISTO ULIYE MTUMANdugu wasomaji, Leo nitaielezea aya ya Yohana 17: 3 ambayo Waislam wamekuwa wakiitumia mara nyingi sana kudai kuwa eti, Yesu amekana kuwa yeye ni Mungu. Waislam kwa kupitia mihadhara ya kidini na kwa kutumia vijarida mbali mbali wanatishia Umma wa Wakristo kuwa, Yesu ameukana Uungu. Je, hayo madai ya Waislam ni kweli? Je, hiyo aya ina la zaidi la kujifunza? Ili uielewe Biblia vizuri,...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
MAX SHIMBA MINISTRIESadicionou um novo artigo Injili Ya Yesu Kristo2021-12-23 08:34:15 - Traduzir -YESU NDIE NJIA NA KWELI NA UZIMA. Kumbe Dini sio NjiaKatika Biblia tunasoma kuwa Yesu anasema yeye ndie "KWELI" na anaendelea kusema kuwa KWELI ndiyo itakuweka HURU. Hebu rejea kwenye hii aya: Yohana 14:6 Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.Kufuatana na aya hapo juu, Mtu yeyote yule hawezi kwenda kwa Baba na/au Mbiguni bila ya kupitia "KWELI" ambayo ni YESU. Kumbe basi...0 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior
-
ZIJARIBU HIZO ROHO! JE NI ROHO ZA MUNGU WA KWELI AU ZA mungu WA UONGO?BWANA YESU ASIFIWE, YESU wa Nazareti aliye hai. 1 Yohana 4: 1-3 “ 1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na MUNGU; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 2 Katika hili mwamjua Roho wa MUNGU; kila roho ikiriyo kwamba YESU KRISTO amekuja katika mwili yatokana na MUNGU. 3 Na kila roho isiyomkiri YESU haitokani...0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
*KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?**KUSUDI LA MIMI KUWEPO DUNIANI NI LIPI?*0 Comentários 0 Compartilhamentos 10KB Visualizações 0 Anterior
-
AGANO LA AMANI ISAYA 54:10,EZEKIEL 34:25PASIPO AGONO LA AMANI YA KRISTO HAPANA MAFANIKIO0 Comentários 0 Compartilhamentos 11KB Visualizações 0 Anterior3
-
BWANA YUAJA TUWE TAYARIBWANA YUAJA TUWENI TAYARI0 Comentários 0 Compartilhamentos 5KB Visualizações 0 Anterior
-
FURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetuFURAHI KATIKA DHIKI UKIWA UJAA ROHO MTAKATIFU.Kwa imani yetu0 Comentários 0 Compartilhamentos 8KB Visualizações 0 Anterior1
-
INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .INGIENI KWA KUPITIA MLANGO ULIO MWEMBAMBA* .7 Comentários 0 Compartilhamentos 7KB Visualizações 0 Anterior3
-
JE! NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?JE NI HAKI WATAKATIFU WALIOKUFA KUTUOMBEA SISI WATAKATIFU TULIO DUNIANI?3 Comentários 0 Compartilhamentos 7KB Visualizações 0 Anterior
-
JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-50JEHANAMU YA MOTO IPO NA ITAFANYA KAZI SIKU YA HUKUMU KUU. MATHAYO 13:40-500 Comentários 0 Compartilhamentos 6KB Visualizações 0 Anterior1
-
JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.JINSI LAANA YA ROHO MTAKATIFU INAVYOENDELEA MIONGONI MWA WAHUBIRI WA INJILI PASIPO KUJIJUA.0 Comentários 0 Compartilhamentos 8KB Visualizações 0 Anterior
-
JINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMUJINSI MUNGU ANAVYOWAPENDA WANADAMU0 Comentários 0 Compartilhamentos 12KB Visualizações 0 Anterior
2
-
KAZI ZA IMANI KWA MUAMINI KATIKA KRISTOKAZI KUU 5 ZA IMANI KATIKA MAOMBIA YA MUAMINI0 Comentários 0 Compartilhamentos 11KB Visualizações 0 Anterior2
Páginas impulsionada
Patrocinado
[Repenting + Holiness = Entering Heaven / Kutubu + Utakatifu = Kuingia Mbinguni].